Kusafiri na demu kauzu

Kusafiri na demu kauzu

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Nimejuta sana, nimepanda gari na demu mzuri balaa, mzigo wamaana, hips, anajoto kali sana maana nipo dirishani yeye yupo pembeni yangu, hips zinanigusa zamoto kweli kweli ila ni kauzu utadhani kanifananisha na ex wake, anamajibu ya mkato, ni mtu asiyejali sana sasa sijui nifanye nini, kwenye simu yake kuna app ya Jf nimeamua kuandika uzi huu kisha nimwambie samahani dada ingia Jf kwnye jukwaa la MMU kuna uzi unachekesha, akiusoma huenda story zitaanza na nitafanikisha lengo langu.

Updates:
Kaniuliza tumefika wapi nikamwambia huku na smile aka smile kidogo, nadhani tutapatana
 
hujakutana na majaribu wewe
mkuu nakuna nayo kila leo maana naishi na watu. na hujui kwa nini awe kauzu inawezekana ana wa kwake hivyo anamlindia heshima. labda ni mrs. Muombe Mungu akushindie majaribu, zama katika simu yako!!, safiri na vitabu mbalimbali soma !! weka nyomba masikoni uzipendazo cha msingi potezea!! na ajue hilo!! kuwa na wewe huna muda naye. ila kana wewe ni kujana na ni msichana basi muombe Mungu Amfungue. mkifika kwenye chakula mnunulie korosho, soda ama kitu chochote unachodhania atavutwa nacho!! usianze kutonogoza ongea habari mbalimbali mchnganyiko mpaka mnafika mtakuwa marafiki> tafuta kisa kizuri sana msimulie!!
 
Nimejuta sana, nimepanda gari na demu mzuri balaa, mzigo wamaana, hips, anajoto kali sana maana nipo dirishani yeye yupo pembeni yangu, hips zinanigusa zamoto kweli kweli ila ni kauzu utadhani kanifananisha na ex wake, anamajibu ya mkato, ni mtu asiyejali sana sasa sijui nifanye nini, kwenye simu yake kuna app ya Jf nimeamua kuandika uzi huu kisha nimwambie samahani dada ingia Jf kwnye jukwaa la MMU kuna uzi unachekesha, akiusoma huenda story zitaanza na nitafanikisha lengo langu.
HANA INTEREST. It's that simple. Utakuwa sio mapigo yake, why bothering?
 
Back
Top Bottom