Mchina kaniibia Mali yangu

ze farmer

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
921
1,800
Kiukweli naandika kwa masikitiko sana. Toka muda huyu mchuchu nilikuwa nahisi kama kuna kitu hakiko sawa. Sasa badala ya uchunguzi wangu wa kiintelijensia nikamfuma yuko na mchina. Sasa nimeongea kigentlemen na huyu mchina. Ili kuimalisha deplomasia kati ya Tz na China nikampotezea. Ila nimeamua kudeal na huyu mpuuzi. Sasa huyu mbwiga jana kaja home leo kapiga menu na nikaamua kumnyanganya kila nilichomnunulia akafie mbali.
Hivi nyie wadada mnamatatizo gani?
 
Ni kwanini sisi wanaume tuna tabia ya hovyo ya kumpa mpenzi kiru siku tukiachanq tunamnyqnganya hivi Ni kwamba tunawakopeshaga akishindwa kurudsha hunyanganywa wanaume wenzangu si vema Jambo Hilo vitu vingine tufanye Kama tumetoa sadaka tu na mungu aturehemu Maulana
 
Amekuja home kabisa na kupiga menu huku unamuangalia.!? Ulishindwa kumfukuza? Hujamuekea hata sumu akafie mbele!?

Mwenyekiti wa Roho Mbaya...
 
Download TALA app

Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo!

Tumia namba ya mualiko 1JG1PN6.

Pata mkopo sasa: install app kwa link hii http://inv.re/79pcu

Kwenye sehemu ya promo code/referal code weka hii 1JG1PN6

Unawezeshwa kianzio cha elfu hamsini

Tumia mualiko uanze na mkopo wa elfu hamsini

Masharti ya malipo kuzingatiwa

MKOPO WA HARAKA KUPITIA TALA MPAKA 500,000/=
Oya tuondolee ungese basi, hio app tunaijua huna sababu ya kutujazia mitangazo ya ajabu humu. Moderator fungia huyu
 
Wewe nyang'au hakuna wakopaji humu, waambie TALA watafute wateja kimyakimya.

Active.
Download TALA app

Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo!

Tumia namba ya mualiko 1JG1PN6.

Pata mkopo sasa: install app kwa link hii http://inv.re/79pcu

Kwenye sehemu ya promo code/referal code weka hii 1JG1PN6

Unawezeshwa kianzio cha elfu hamsini

Tumia mualiko uanze na mkopo wa elfu hamsini

Masharti ya malipo kuzingatiwa

MKOPO WA HARAKA KUPITIA TALA MPAKA 500,000/=
 
Kiukweli naandika kwa masikitiko sana. Toka muda huyu mchuchu nilikuwa nahisi kama kuna kitu hakiko sawa. Sasa badala ya uchunguzi wangu wa kiintelijensia nikamfuma yuko na mchina. Sasa nimeongea kigentlemen na huyu mchina. Ili kuimalisha deplomasia kati ya Tz na China nikampotezea. Ila nimeamua kudeal na huyu mpuuzi. Sasa huyu mbwiga jana kaja home leo kapiga menu na nikaamua kumnyanganya kila nilichomnunulia akafie mbali.
Hivi nyie wadada mnamatatizo gani?
kuimalisha = kuimarisha
 
Back
Top Bottom