Follow this link to join my WhatsApp group: Maisha group
Karibu kwenye group letu whatsup
Naona mods wametoa thread yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu wana Jf habar zenu wikend hloo kila mtu anaratba zake kibao leo, wengne tutalala usik, wengne tutatoka nk. Bila kupoteza mda lets back to the topic
Nina swali kwa both me&ke kwa...
Kwa sasa kumekuwa na wimbi la wanaume wengi kulalamika mambo wanayofanyiwa na wanawake zao,mfano jamaa anamnunulia gari mwanamke wake,then anafikiri ndio amemaliza,siku anapata pancha,anasaidiwa...
One thing for sure mwanaume akiamua kukupenda na kukuheshimu atafanya hivyo asipoamua basi haitakuwa hivyo,
unaweza kukutana na mwanaume leo ukalala naye kesho na bado atakuheshimu na kukupenda...
Nahitaji mtu mwenye hekima na busara kunipa ushauri katika hili.
Ninaishi na msichana ambaye apendwi na ndugu zangu kwa kuwa yeye pia ajali ndugu zangu,
Kunakipindi nilikuwa masomoni maeneo...
Hoteli moja huku maeneo ya Buza na demu wangu wa kitambo, lakini mke wa mtu sasa jamaa mmoja wakili msomi mwenye mafanikio ya kutosha katika kazi zake - lakini kaachiwa watoto awaangalie wasiumie...
Dear ,
Mwaaa
Habari zako , za moyo wako , za tabasamu lako , za kicheko chako , sauti yako na kila kitu kizuri chako ? Najua kila kitu kitakuwa safi sana kuanzia moyo wako mzuri na mtamu...
Wakuu habari,
Kichwa cha habari ndo point yangu kuu,
Naomba kujua kama nina shida ,wenye utalaam kuhusu mapenzi naomba mnsaidie hapa
Naweza kuachana na mpenzi na siyo moja wala wawili ni...
Huyu Swabia alidondosha DNA enzi yuko A level, hakuwa na hela ya kumtunza mtoto na hakuwashirikisha wazazi wake. Baada ya kumaliza shule alipata mchingo wa kwenda USA. Kule alikutana na binti...
Jamaa anakatabia kakula Malaya lakini anakafamilia ka,uri mke na watoto 3 mkewe mchamungu balaa ,ila jamaa ndo kapinda .
Sasa juzi kati Malaya moja nguli tena limama limemwambia linamimba yake...
Habari zenu wana MMU!
Pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Niende kwenye mada. Naandika haya ilikupata mawazo yenu maana naamini this is a home of Great Thinkers.
Nimeumizwa Mara kadhaa kwenye...
Tofauti hazikwepeki katika maisha. Hawa wamepewa na wale wamenyimwa. Lakini binadamu tusinyanyasane wala kutishana kwa ajili ya tofauti hizo alizoweka Rabana.
Katika dunia tunayoishi kuna watu...
Sijawahi kuleta uzi wa kutaja hiki kiungo lakini leo imenibidi niseme tu.
Hawa Binadamu wenzetu wa jinsia ya KE.. papuchi zinatumika mpaka inakuwa nadra kupata zile ambazo kwa wale tuliokuwepo...
1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.