Story ya kweli imetokea kwa Trump

Story ya kweli imetokea kwa Trump

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Huyu Swabia alidondosha DNA enzi yuko A level, hakuwa na hela ya kumtunza mtoto na hakuwashirikisha wazazi wake. Baada ya kumaliza shule alipata mchingo wa kwenda USA. Kule alikutana na binti m-Tanzania walirudi nyumbani na kuoana harusi yenye baraka zote za wazazi.

Baada ya miaka mingi kupita amrudi nyumbani kusimamia ujenzi wa nyumba yake. Anapewa taarifa kuwa mtoto wake amemaliza darasa la 12 na sasa ni utingo. Nafsi ilimsuta sana. Alianza mipango ya kumpeleka mtoto USA.

Ili jurahisisha mambo ilibidi arudishe umri wa mtoto nyuma ili awe unde 16. Mke alikubali. Mtoto mwenyewe alushafikisha 20+. Kufika kule mtoto ameanza ku hang out na bad boys kitaa. Jamaa alimshika na kumchapa kisawasawa. Aa kijana wa 20+ akaona u fala huu alizirudisha kwa msure wake mara msure damu.

Step mother aliamua kupiga simu polisi maana ngoma ilimshinda. Polisi kufika katika records zao mtoto ni minor. Jamaa aliondoka na wajomba, baadae alihukumiwa jela kwa child abuse.

Mke amesema hawezi kuishi na mtoto yule mwenyewe ndani ya nyumba. Mtoto amenyooshewa mambo ya social.

Ingekuwa wewe umeacha mtoto kitaa ungechukua hatua gani. Maana life ya jamaa imesha kuwa f***up.
 
Mtoto yuko chini ya social security mzima kabisa ila baba kazi ameshapoteza.

Mtoto akishaharibika kaa nae mbali kwani atakurudisha nyuma kwa chochote unachotaka kuendedlea mbele in short fukuzilia mbali akafie chocho huko na kama una uwezo tafuta mtoto mwingine mwenye nidhamu
 
Mtoto akishaharibika kaa nae mbali kwani atakurudisha nyuma kwa chochote unachotaka kuendedlea mbele in short fukuzilia mbali akafie chocho huko na kama una uwezo tafuta mtoto mwingine mwenye nidhamu
Halikuwa kosa la mtoto kuwa chokoraa
 
Mbona umeuliza kwa kuogopa au unawaogopa hawa[emoji116][emoji116][emoji12][emoji12]
20190119_121233.jpeg
 
Hapo nikumsamehe na kumrudisha kwenye mstari utukutu haibadilishi kuwa ni mwanae. Akiweza amrudishe bongo kidogo kumrudisha kwenye mstari.
 
Back
Top Bottom