Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ndugu zangu wana Jf habar zenu wikend hloo kila mtu anaratba zake kibao leo, wengne tutalala usik, wengne tutatoka nk. Bila kupoteza mda lets back to the topic
Nina swali kwa both me&ke kwa wanaume/wanawake hvi kma una madem/wanaume wengi Je! ni wote unawapenda Au kuna mmoja ambae unakuwa unamwelewa sana na hutakuw tyr kumpoteza? coz me najua kwa utafit nloufanya hta uwe na madem/wanaume wengi lazma mmoja ndo utampenda sana hta ukiskia anachepuka lazma ikuume an.
Maoni yenu yapoje hapa waungwanaa tupate majib sahihi leo.
Sent from my iPhone using JamiiForums