Ndara Mbovu
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 155
- 83
Nahitaji mtu mwenye hekima na busara kunipa ushauri katika hili.
Ninaishi na msichana ambaye apendwi na ndugu zangu kwa kuwa yeye pia ajali ndugu zangu,
Kunakipindi nilikuwa masomoni maeneo ambayo pia ndugu zangu wanaishi,
Nilikuwa na kabinti ambacho nilikuwa natoka naye kimapenzi, binti huyu anaujauzito wangu sasa na amependwa na ndugu zangu sana, kiasi kwamba wanataka nimuoe,
Nashindwa nifanyeje mana tulishakubaliana na binti sitomuoa,
Nilijaribu kumueleza binti kuhusu habari za wazazi kutaka awe mkwe wao, Binti ananikataria kwa maana ni maono ya wazazi na sio ya kwangu mimi ,na pia anamwogopa mwanamke ninayeishi naye atamfanya vibaya.
Hata mimi sasa nimeamua binti uyu anayependwa awe mke wangu nifanyeje ili kuelewesha.?
Sent using Jamii Forums mobile app