Sijui kupenda na sina maumivu ya mapenzi.

Sijui kupenda na sina maumivu ya mapenzi.

J putin

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
1,263
Reaction score
1,209
Wakuu habari,

Kichwa cha habari ndo point yangu kuu,

Naomba kujua kama nina shida ,wenye utalaam kuhusu mapenzi naomba mnsaidie hapa

Naweza kuachana na mpenzi na siyo moja wala wawili ni wengi lakini cha ajabu watu wanasema mapenzi huleta msongo wa mawazo kwa wawili wanaopendana ila kwangu hayo maumivu ndo hata sina yaani nakuwa normal asalimia 100%

Ni hivyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapigaga mswaki asubuhi? Inasemekana na wataalamu kwamba eti usipopiga mswaki mala kwa mala asubuhi kuna uwezekano wa asilimia 75 kupoteza hisia za Kimapenzi.



Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom