Kumekucha:Jamaa kampa mimba changudoa sugu

Kumekucha:Jamaa kampa mimba changudoa sugu

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,213
Reaction score
14,785
Jamaa anakatabia kakula Malaya lakini anakafamilia ka,uri mke na watoto 3 mkewe mchamungu balaa ,ila jamaa ndo kapinda .

Sasa juzi kati Malaya moja nguli tena limama limemwambia linamimba yake jamaa akalitumia laki litoe limemrudishia na hell ya kutolea eti jiandae kuwa baba.Jamaa ni mkristo hili shangingi lililojichibua Hadi kucha ni muislamu jina ,jamaa anawaza hayo malezi ya magomeni na maadili ya siyo ya kikristo imekaaje ,istoshe Lina watoto wanna huyu watano jamaa anasema ntawatengaje .
 
Kwa hali hii naapa vile vyuma aviji kulegea mpaka vikatike vyenyewe.
 
Mi namuelewa sana huyu mzee!
images-13.jpeg
 
Ukristo na Uislam umeingiaje au unahusiano gani kwa ulichokiandika au kilichotokea?
 
Ukristo na Uislam umeingiaje au unahusiano gani kwa ulichokiandika au kilichotokea?
Watu huwa hatuprefer kujiingizia kwenye mtu wa dini nyingine kuepusha mikanganyiko isiyolazima
 
Mikanganyiko kama ipi? Ambayo unaweza ipata kwa mtu wa dini tofauti na yako, ila usiipate kwa mtu wa dini yako?
Mkuu usiweserious kupitiliza ni very logic ni vyema upate mtu wa imani ya kuondoa mijadala isiyo lazima ,najiepusha kuingia deep maana topic ya dini ni sensitive yataka hekima kuisogelea ,mzazi muislamu angeshukuru Kama angepata mkwe muislamu ,ila Kuna love huwa ikiingilia hatubishii .ni Kama kusema ni vyema msichana akipata mchumba tajiri ,lakini akimpenda mSkini itabidi tusapport pia
 
Huyo jamaa yako ni Mkristo ilimladi nae aonekane ana dini anahangaika na malaya hali ya kuwa ana Familia yake halafu unakuja kutoa povu hapa la Kijanga tena ningekuwa mimi huyo mama ningesema Vipimo vimeonesha nina mimba na virusi vya ukimwi.
 
ametongoza akijua ni malaya.. amekubaliana nae wakaingia room akijua ni malaya.. wakavuana vyote wakabaki kama walivyozaliwa akijua ni malaya.. akaanza fore play na hatimaye akavunja amri ya sita bila kondom.. na ukafika mda akamwaga tena yawezekana ndo alijibana zaidi..na alipomaliza akashukuru asante huku jasho likimtoka..
.
.
.
sasa anasema amempa mimba malaya anataka akatoe.. eb aache izo asubiri azaliwe mwanae na awe mkweli kwa mkewe.. alah! umtoe kwan hataki kuishi.. mwache dogo azaliwe..
.
.
tena atakuja kuwa wa ajabu sana dogo kwa jinsi atakavyochana nyavu!! mwache aje ale ugali na maziwa ya ng'ombe!
 
Anamuita mwenzie muislamu jina wakati hata yeye mkristo jina. Hayo ya kujichubua hadi kucha hakuyaona anapoenda kumla sasa hivi ndio anayaona? Hivi wanaume mnapata wapi ujasiri wa kwenda kulala na mwanamke ambaye unakiri hata wewe kuwa ni malaya halafu unalala nae bila kinga? Mtatumaliza na maradhi nyie watu khaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anakatabia kakula Malaya lakini anakafamilia ka,uri mke na watoto 3 mkewe mchamungu balaa ,ila jamaa ndo kapinda .

Sasa juzi kati Malaya moja nguli tena limama limemwambia linamimba yake jamaa akalitumia laki litoe limemrudishia na hell ya kutolea eti jiandae kuwa baba.Jamaa ni mkristo hili shangingi lililojichibua Hadi kucha ni muislamu jina ,jamaa anawaza hayo malezi ya magomeni na maadili ya siyo ya kikristo imekaaje ,istoshe Lina watoto wanna huyu watano jamaa anasema ntawatengaje .
1. inawezekana anatestiwa, ampeleke wakapime?
2. Inawezekana ni kweli, alafu jimama linataka mtoto.
3. Inawezekana hana, ila anataka kumkomoa ili apate mkwanja mrefu

apambane na hali yake.

Yajayo yanafurahisha
 
Back
Top Bottom