Wadada punguzeni ujuaji

Mambo ya kuambia boy wako sijui hujui kitu, Mbumbumbu ukimpa maelekezo kistaarabu anayageuza kusema we hujui mara hujielewi hata kama hajasoma tafadhali mheshim tu ninahasira kishenzi nimetoka kugeuza hii manzi kuwa chombo ya kula na kuepa sababu ni ujuaji... Yaani utadhani amenitoa leo kwetu Masasi Ntwala.
Wallah hatupendi hizi pigo wadada tuheshimiane

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijaelewa inamaana hio manzi yako ndio imekuita mbumbumbu au?

Maendeleo hayana chama
 
Pole mkuu Ila ilipaswa umuonyeshe kua wewe ndio kichwa cha familia ili siku nyingine asikuletee upuuzi wa namna hio.

Maendeleo hayana chama
Ananipazia sauti afu ukizingatia hata wiki tatu hatujatimiza, nikiongea mawili anaongea 10 mfululizo...
This woman can not be my wife anymore

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa 'mtwala' kwahiyo wewe ndio umeitwa mbumbumbu?
Basi sawa.
 
Back
Top Bottom