Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 568
M
Mambo ya kuambia boy wako sijui "hujui kitu"
"Mbumbumbu" hata kama hajasoma tafadhali mheshim tu ninahasira kishenzi nimetoka kugeuza hii manzi kuwa chombo ya kula na kuepa sababu ni ujuaji... Yaani utadhani amenitoa leo kwetu Masasi Ntwala.
Wallah hatupendi hizi pigo wadada tuheshimiane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kushare inaeza ikawa funzo kwa wengine au ushauri kwangu sio kwa nia nyingine ndo maana sijataja mtu wala sababu... Ahsante kwa ushauriKwanini usimwambie mhusika moja kwa moja kuliko kujumuisha wasiohusika?, umemkera kakutusi unakuja kulalamika huku?,
Alaaa kumbeKama alikutamkia "wewe ni mbumbumbu , haujui kitu" basi amefanya makusudi umuache