Buza hotelini, kamwacha Mr wake na watoto Car wash!

Timm Wu

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
505
1,360
Hoteli moja huku maeneo ya Buza na demu wangu wa kitambo, lakini mke wa mtu sasa jamaa mmoja wakili msomi mwenye mafanikio ya kutosha katika kazi zake - lakini kaachiwa watoto awaangalie wasiumie kwenye bembea huku akisubiri aoshewe gari yake na vijana hapo Car Wash

Nimemwuliza umeagaje amenijibu kwa kuniuliza pia swali huku akicheka kwamba nataka kujua alivyoaga au kupiga mzigo? Sijaendelea kuuliza.

Namhurumia mshikaji ila sina namna, hawa viumbe akili zao wanazijua wenyewe wanaume hatuwezi kushindana nao...

GAME ON!
 
Back
Top Bottom