Kujuana Kuchat na Mtoko

Kujuana Kuchat na Mtoko

roja24

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
634
Reaction score
410
Wana J , nina umri wa miaka 35 na ninapenda sana chating na kutoka/kutembea maeneo mbalimbali, Shida yangu nahitaji Mdada Mmoja wa kuchat nae na kuwa natoka nae, SIO KIMAPENZI, awe mjanja kama vile miss natafuta, miss chaga nk Mwanadada aliyetayari aniPM.... Umri sio kigezo kwangu. Asante[emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mtakua mnachart nini cha mno?
Swali zuri madame, maisha, investments, new ideas, past experiences. nk. Kwani mtu anapokuwa yupo Toroka Uje Tabata anakunywa moja moto moja baridi unadhani alokutana nao pale anapiga story gani hasa!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umri huo nadhani tayari una mwenza, si ndo muwe mnachat sasa na kuongea vitu km izo ulizotaja
 
Miaka 35...kuchat inakuwa ngumu sn kila navyozidi kuzeeka unless nina interest naww n we av lots to talk.

Ila ukinichefua hapa JF panakuwa pakubwa tunaweza kukaa hata mwaka hatuonani hata kwny uzi mmoja
 
Kwa umri huo nadhani tayari una mwenza, si ndo muwe mnachat sasa na kuongea vitu km izo ulizotaja
Yeye ananafasi yake na maisha au hobby nazo zinanafasi yake kumbuka kuwa wanawake wote sio sawa unaweza mwanamke ukampa 2mil leo baada ya wiki ukaikuta au usiikute, na yupo ukampa kiasi sawa na hicho lakin kesho ukaikuta na imeongezeka na anachakufanya hata genge la nyanya na nazi. So sio wote ni washauri au wana experience na maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana J , nina umri wa miaka 35 na ninapenda sana chating na kutoka/kutembea maeneo mbalimbali, Shida yangu nahitaji Mdada Mmoja wa kuchat nae na kuwa natoka nae, SIO KIMAPENZI, awe mjanja kama vile miss natafuta, miss chaga nk Mwanadada aliyetayari aniPM.... Umri sio kigezo kwangu. Asante[emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Rojas wewe unataka nini? Kabisa umeamua kutudanganya eti unataka wa kuchat tu? Mmmh!😁 uko wasap video call zitakuwa za kazi gani?😁

Haya mi yangu macho kabla ya Valentine usiporudi hapa kulalama eti kakupiga kizinga basi tangu Siku hivyo ntakuita mwanaume.😁narudia tena ntakupa heshima ya mwanaume wa nguvu😁
 
Wewe Rojas wewe unataka nini? Kabisa umeamua kutudanganya eti unataka wa kuchat tu? Mmmh![emoji16] uko wasap video call zitakuwa za kazi gani?[emoji16]

Haya mi yangu macho kabla ya Valentine usiporudi hapa kulalama eti kakupiga kizinga basi tangu Siku hivyo ntakuita mwanaume.[emoji16]narudia tena ntakupa heshima ya mwanaume wa nguvu[emoji16]
Ahahahs usijali mie vizinga cviogopi, wala hitosikia na uanze tu kuniita mwanaume wa nguvu in advance [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom