Aisee! Kumbe ndom inanuka namna hii!

Aisee! Kumbe ndom inanuka namna hii!

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,972
Reaction score
3,588
Aisee, sikuwa najua umuhim wa kuoga baada ya kupiga gemu, leo ninepanda gari na maza ananuka ndom mwanzo mwiso, sijui ni sababu ya jua kali au yule maza alizidisha kipimo, ila almost abiria woote walifungua madirisha baada ya mama wa watu kuingia kwenye gari, japo gari ilikuwa na aisii ila watu walifungua madirisha.

Note tu, madada muogage baada ya gemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, sikuwa najua umuhim wa kuoga baada ya kupiga gemu, leo ninepanda gari na maza ananuka ndom mwanzo mwiso, sijui ni sababu ya jua kali au yule maza alizidisha kipimo, ila almost abiria woote walifungua mafirisha baada ya mama wa watu kuingia kwenye gari japo, gari ilikuwa na aisii ila watu walifungua madirisha.

Note tu, madada muogage baada ya gemu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe umekuwa beberu?
 
Unaongea uongo as if watu hawajawahi tumia kondomu kabisa humu!

90% ya watu wanatumia,na hakuna condom inanuka kwa ukubwa huo unaosemea.

Wewe labda ulisikia harufu ya kitu kingine ukadhani ni ya condom!
 
Back
Top Bottom