Kang kin
Senior Member
- Mar 21, 2017
- 154
- 123
Amani iwe kwenu wana-MMU
Naomba tupeane uzoefu wana-MMU hivi ni kwanini baadhi ya wanawake wakifanya makosa kwanini wanapenda sana kujijitea na kwa kuona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa hata kama wamefanya makosa?. Labda nitokea experience kidogo ya wanawake niliwahi kuwanao kimahusiano karibia wote nilikuwa nikiwaonya jambo la kwanza wanaoona kama vile wanatwishwa mizigo na kuonewa basi atajitetea weee hata kama ushahidi upo mezani. Embu tupeane uzoefu juu ya wenzetu hawa.
Povu ruksa