Ni ngumu mwanamke kufanya ngono na rafiki yake wa kiume

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,565
45,892
Sijui ni kwanini sisi wanawake tukizoeana na wanaume na kuwa marafiki sana hata wakija kututaka kimapenzi inakuwa ngumu tunaogopa.

Unakuta ni mtu wako sana yaani, mnashare kila kitu hata mizinga unampiga fresh ila kulala nae sijui unaonaje!

Ni bora ukagegedwe huko hata kama unaumizwa lakini si na rafiki yako.

Na nyie wakaka kama mnatutaka msitufanye marafiki sana bwana tunaogopa kuja kuwavulia tunakuwa tushawaona mabrother wetu wa damu eti.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom