Tuwe wakweli hapa, ikiwa ni wewe utachukua barua gani?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Una watoto wadogo na unahitaji msaidizi. Kazini kuna kijana amekuahidi kukuletea dada. Dada amekuja binti wa miaka 20 ni karembo with natural beauty.

Umekaa nae mwezi sasa, dada anaumwa homa homa zisizoisha na anapenda sana kulala. Unafikiria ni mimba lakini kumpima hana mimba, malaria hana. Unagundua ni HIV+. Ukimuuliza zaidi anakuambia alitoka kwao akiwa bikra lakini huko alikoanzia kazi baba alimbaka tena si mara moja.

Kwao ndiye anategemewa tume pesa za kupunguza makali ya maisha.

Utachukua uamuzi gani?
 
Nampeleka hospital aanzishiwe dawa, yani ARV
Kisha maisha yaendelee kama kawa.
Una watoto wadogo na unahitaji msaidizi. Kazini kuna kijana amekuahidi kukuletea dada. Dada amekuja binti wa miaka 20 ni karembo with natural beauty.

Unekaa nae mwezi sasa, dada anaumwa homa homa zisizoisha na anapenda sana kulala. Unafikiria ni mimba lakini kumpima hana mimba, malaria hana. Unagundua ni HIV+. Ukimuuliza zaidi anakuambia alitoka kwao akiwa bikra lakini huko alikoanzia kazi baba alimbaka tena si mara moja.

Kwao ndiye anategemewa tume pesa za kupunguza makali ya maisha.

Utachukua uamuzi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una watoto wadogo na unahitaji msaidizi. Kazini kuna kijana amekuahidi kukuletea dada. Dada amekuja binti wa miaka 20 ni karembo with natural beauty.

Umekaa nae mwezi sasa, dada anaumwa homa homa zisizoisha na anapenda sana kulala. Unafikiria ni mimba lakini kumpima hana mimba, malaria hana. Unagundua ni HIV+. Ukimuuliza zaidi anakuambia alitoka kwao akiwa bikra lakini huko alikoanzia kazi baba alimbaka tena si mara moja.

Kwao ndiye anategemewa tume pesa za kupunguza makali ya maisha.

Utachukua uamuzi gani?
Na mimi nitambaka
 
Binti wa miaka 20 tayari ana maambukizi ya virusi vya UKIMWI tena kwa kubakwa.

Dunia hii!
 
Una watoto wadogo na unahitaji msaidizi. Kazini kuna kijana amekuahidi kukuletea dada. Dada amekuja binti wa miaka 20 ni karembo with natural beauty.

Umekaa nae mwezi sasa, dada anaumwa homa homa zisizoisha na anapenda sana kulala. Unafikiria ni mimba lakini kumpima hana mimba, malaria hana. Unagundua ni HIV+. Ukimuuliza zaidi anakuambia alitoka kwao akiwa bikra lakini huko alikoanzia kazi baba alimbaka tena si mara moja.

Kwao ndiye anategemewa tume pesa za kupunguza makali ya maisha.

Utachukua uamuzi gani?

Yashatokea nafanya mpango aanzishiwe ARV huyo baba lazima nimripoti ashitakiwe na watu wanaohusiana nae wakapimwe waanzishiwe dozi
Na kuhusu kazi siwezi kukaa nae kama housegirl the risk is too high nitamtafutia kazi nyingine nikikosa sina budi kumrudisha kwao suala la matumizi tutaangalia kama najiweza nitamsaidia kama sijiwezi basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom