Mpenzi wangu kanisaliti baada ya kwenda masomoni

Black hermit

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
657
Reaction score
955
Mwanzoni mwa miaka ya 2014 hadi 2016 nilibahatika kupata msichana ambaye alikuwa ni new intake katika shule ninayofundisha, baada ya kuona ananifaa nikamuaproach na tukawa naye katika mahusiano, kasheshe ikawa kila nikimwambia tukajitambulishe kwao akawa analeta sababu za hapa na pale, kwakuwa umri wangu kidogo umeenda nikaamua kwenda chuo kujiongeza kidogo baada ya kurudi nimekuta kazaa na jamaa ambaye tuko naye staff moja, nimejaribu kufuatilia uhamisho ili niwaache mana kila nikiwaona najawa na hasira halmashauri naona wananizingua siko sawa na kuna siku nitafanya kitu kibaya halafu nipotee kabisa nishaurini nifanyeje.
 
Kwani alikuwa mkeo huyo
 
Basi yeye kashinda mana tayari keshazaa naye shida iko kwangu napata ugumu sana kuishi eneo moja na wabaya wangu na uhamisho nimebaniwa hata wa ndani ya kata nafikiria kufanya jambo baya au niachane kabisa na hiki kibarua mana nachoreka vbaya
Kumbuka kuwa wakati unadhamiria kumweka ndani, kuna wenzako nao walikuwa wamenuia kumuoa.
 
Basi yeye kashinda mana tayari keshazaa naye shida iko kwangu napata ugumu sana kuishi eneo moja na wabaya wangu na uhamisho nimebaniwa hata wa ndani ya kata nafikiria kufanya jambo baya au niachane kabisa na hiki kibarua mana nachoreka vbaya
Mkuu, hayo sio mawazo yako, wala ya Sheteni. Binafsi sijui ni mawazo ya nani hayo, yaani unafirikia kuharibu maisha yako kwa sababu ya mwanamke ambaye umekutana naye ukubwani, tena hajawahi kuwa mke wako. Achana na mawazo hayo, tafuta chombo kingine weka ndani endelea kula maisha. Aidha, nakushauri upige kazi kwa bidii ikiwa ni pamoja na kutafuta pesa ili maisha yakunyokee halafu huyo Dada abaki akijilaumu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we boya..ufanye kitu kibaya upotee??? Hapa hapa TZ ,, usihangaike ukiua utakamatwa tu..ukijiua utakua falaaaa wa karne na utachomwa tu.

Alafu Boy, unakazi, we ni HB ,KWANN UNAJARIBU KUVURUGA UBINADAMU WAKO AMBAO HUKUHUSIKA KUUUMBA????????[emoji53][emoji53][emoji53]

Kisa Kumaa au ??? Ivi jamaa nyie mkoje lkn????? Ndo kujifanya mnapenda saaaaaana mnaeekeza saaaana[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] mtaendeleaga kufa na kufungwa kisa K

Sisi wajanja tunapeta,, kauli mbiu yangu nihiii "Nakupenda lkn naweza kuishi bila wewe"[emoji23][emoji23].

Soma huu uzi wangu ..." Kijana soma nyakati, Mwanamke wa Hivi anakutumia tu"....

Soma huo uzi ...HOPE UTAKUPA MWANGA NA UKIWAELEWA WANAWAKE,,, HAWATOKAA WAKUPE SHIDA.

ulikua mjinga ,alipokua anakuletea mbwembwe ,wee ndo ukajifanya "Ipo siku u
Nimekuelewa mkuu
 
Mkuu, hayo sio mawazo yako, wala ya Sheteni. Binafsi sijui ni mawazo ya nani hayo, yaani unafirikia kuharibu maisha yako kwa sababu ya mwanamke ambaye umekutana naye ukubwani, tena hajawahi kuwa mke wako. Achana na mawazo hayo, tafuta chombo kingine weka ndani endelea kula maisha. Aidha, nakushauri upige kazi kwa bidii ikiwa ni pamoja na kutafuta pesa ili maisha yakunyokee halafu huyo Dada abaki akijilaumu.
Nilisoma makala ya jamaa anaitwa Amos anasema mchumba wako akikumbia na kwenda kwa mwanaume mwingine usimlaumu kwa kujifikiria wewe na upweke wako bali mfikirie pia yeye na ndoto zake jambo la maana siyo kukasirika bali ni kufanya kazi kwa bidii na kutafuta pesa ili ukipata mwingine asikukimbie tena.
Tayari mawazo haya nimeanza kuyafanyia kazi mambo si haba sana tofauti na kazi tunamiliki bodaboda tatu ambazo kwa siku zinatuletea elfu30
 
Back
Top Bottom