dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
Mwamzo niliagiza maji sio kwamba sina hera. Sasa unadengua kukuita kisa nakunywa maji. Haya saizi nimekuagiza chupa ya jackdaniels ndo unavuta kiti nawe unakaa! Naomba utoke kabla sijamuita manager wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app