Ushauri Wenu Unahitajika

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,674
8,673
Habari zenu wana jf

Inshu iko hivi......
Naishi na mtoto wa brother angu pamoja na mdogo angu wote ni wakike
Mtoto wa kaka yupo form two na hyu mdogo angu yupo darasa la saba mwaka huu
Inshu inakuja nahisi kabisa hyu mtoto wa kaka kashanza mapenzi kabisa maana ckuizi yaani kana nyodo balaa alafu hata maendelo yake shuleni ayaridhishi kabisa likizo ya mwaka jana alikua wa 31 kati 36 drsn kwao
Navyosema atakaua ameanza kujiingiza katika mapenzi ni juzi ijumaa alitoka shuleni vzr tu akaniomba ruhusa ya kwenda mafundisho kanisan kwao nilmpa ruhusa ila nikamwambia awai kurudi home
Cha kushangaza kalirudi kama saa moja jion akafikia bafuni na baadae akaenda kulala yaan hata kula hakula siku hyo yaani alilala fofofoo cjui ndo walika micha cku hyo
Hofu yangu inakuja kama atakua ameanza huo mchezo wazazi wake watanifikiriaje maana wenyewe wanaishi zanzibar na me niko msm
Nimejarbu kuwashauri yeye pmj na mdogo angu lkn naona kenyewe ndo kama na kpa ruhusa ya kfny kanachotaka
Binafsi mimi nikishatoka asubui kwenye miangaiko yng narud saa 12 jion au saa mbili usiku saa unakuta muda mwngi vipo vyenyewe tu home
Naomba mnishauri ni mpeleke akasomee kijijini kwa mama ama ni mpeleke bonding tu
Kana miaka 16 sasaivi
Ushauri wenu please maana naogopa lawama za ndugu alafu kumrudisha kwao siwezi maana hko ndo ataharibika zaidi

Nawasilisha kwenu
 
Kama wameshampasua njia basi tena omba Mungu asibebe mimba tu.

Ukilaza wake wa darasani sidhani kama una mahusiano na yeye kuanza kukalia dudu miaka 16 utamu wote anao
 
Lakini form one kalikua kana akili
 
Ok kwa huo umri niwazi kua nilazima Ajaribu kila jambo analoliona .

Nalazima Masomo aharibu tuuu .

ulipokosea au walipokosea , Mliacha akue pasipo kumtengenezea Hofu ya mapenz ktk umri mdogo na Hofu ya Mungu.

Suluhisho !!!
Oa mwanamke .
 
Habari zenu wana jf

Inshu iko hivi......
Naishi na mtoto wa brother angu pamoja na mdogo angu wote ni wakike
Mtoto wa kaka yupo form two na hyu mdogo angu yupo darasa la saba mwaka huu
Inshu inakuja nahisi kabisa hyu mtoto wa kaka kashanza mapenzi kabisa maana ckuizi yaani kana nyodo balaa alafu hata maendelo yake shuleni ayaridhishi kabisa likizo ya mwaka jana alikua wa 31 kati 36 drsn kwao
Navyosema atakaua ameanza kujiingiza katika mapenzi ni juzi ijumaa alitoka shuleni vzr tu akaniomba ruhusa ya kwenda mafundisho kanisan kwao nilmpa ruhusa ila nikamwambia awai kurudi home
Cha kushangaza kalirudi kama saa moja jion akafikia bafuni na baadae akaenda kulala yaan hata kula hakula siku hyo yaani alilala fofofoo cjui ndo walika micha cku hyo
Hofu yangu inakuja kama atakua ameanza huo mchezo wazazi wake watanifikiriaje maana wenyewe wanaishi zanzibar na me niko msm
Nimejarbu kuwashauri yeye pmj na mdogo angu lkn naona kenyewe ndo kama na kpa ruhusa ya kfny kanachotaka
Binafsi mimi nikishatoka asubui kwenye miangaiko yng narud saa 12 jion au saa mbili usiku saa unakuta muda mwngi vipo vyenyewe tu home
Naomba mnishauri ni mpeleke akasomee kijijini kwa mama ama ni mpeleke bonding tu
Kana miaka 16 sasaivi
Ushauri wenu please maana naogopa lawama za ndugu alafu kumrudisha kwao siwezi maana hko ndo ataharibika zaidi

Nawasilisha kwenu
Unaonesha udhaifu mkubwa kaka,hilo sio jambo la kuomba ushauri,kama n mtoto wa kaka ako bac n mwanao huyo,kama unahis ameanza hyo michezo halaf unasema uliwashaur hapo napo unaonesha udhaifu wa malezi,mtoto hashauriw bali anaonywa
Nakushaur umrudishe maana wew ndo anachangia mtoto wa brother ako asinyooke,maana umejitoa ktk jukum la kulea na kujipa jukum la kulaumu,kwa staili yako hyo utashindwa hata kumudu familia yako kimalezi(NIMETOA USHAURI NIKIWA NA USINGIZI KAKA SORRY)
 
Ok kwa huo umri niwazi kua nilazima Ajaribu kila jambo analoliona .

Nalazima Masomo aharibu tuuu .

ulipokosea au walipokosea , Mliacha akue pasipo kumtengenezea Hofu ya mapenz ktk umri mdogo na Hofu ya Mungu.

Suluhisho !!!
Oa mwanamke .
Kwa umri wangu bado sana kuoa hahaha..
 
Unaonesha udhaifu mkubwa kaka,hilo sio jambo la kuomba ushauri,kama n mtoto wa kaka ako bac n mwanao huyo,kama unahis ameanza hyo michezo halaf unasema uliwashaur hapo napo unaonesha udhaifu wa malezi,mtoto hashauriw bali anaonywa
Nakushaur umrudishe maana wew ndo anachangia mtoto wa brother ako asinyooke,maana umejitoa ktk jukum la kulea na kujipa jukum la kulaumu,kwa staili yako hyo utashindwa hata kumudu familia yako kimalezi(NIMETOA USHAURI NIKIWA NA USINGIZI KAKA SORRY)
Duh....sawa bna itabidi nijirekebishe si unajua tena niko nao alone tu
 
Umri alionao ni ngumu sana kumcontrol ila inawezekana japo kwa mazingira mnayoishi ni raisi sana kufanya maana ana uhuru sana wa kutoka bila kukwambia kama unafedha mpeleke bording ila kama huna tafuta mtu wa kukaa nao apo nyumbani awe anawabana kwa kuwapa kazi za kufanya na ajisomee uku ww ukikagua madaftari yao siku ukiwahi kurudi au siku ya week end uliza maswali usimbembeleze onya kama mzazi ikiwezekana mshirikishe baba yake itakuwa jambo zuri sana isilikalie kimya maana ukinyamaza siku akibeba mimba ndugu watakuona ww ndyo kisababishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri alionao ni umri wa kuonja onja,kwa sababu huna mke,nakushauri mpeleke shule ya bweni utaepusha vitu vingi ambavyo si vya lazima.
 
Miaka 16 ndo mida yenyewe ya kunyanduriwa na wanaume....apo ata ukimkataza hatosikia ndo umri wao uo....

am better here
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom