Ndio ukweli mchungudah!
Wachache sana wanaoanza chuo wasiokuwa na wapenz walipokuwa secondary either o level au A level,wakifika chuon hutafuta wa kutuliza ny****ge ili maisha yaende yawezekan wapenz waliokuwa nao kabla ya chuo wakasitisha au wakaendeleza kwa lengo la kuoana,wanasemaga College for knowledge..............,ukimaliza chuo na mahusiano huyamaliza,kuhusu kama anakupenda au anakuchezea wew ndo judge(akili kichwan mwako),jaribu kumpotezea uone kama atakutafuta kama unavyohangaika wew(NAKUSHAURI USISHAURIKE NA USHAURI WANGU)Wakuu habari za ijumaa?
Naombeni msaada wenu Wa kimawazo please mapenzi yananipa wakati mgumu sana
Mpenzi wangu tumekua kwenye mahusiano takribani mwaka Wa tatu sasa!
Tulipatana mwaka tukiwa chuo
Alinihaidi atanioa kwakweli alinihaidi mambo mengi sana
Yeye alinitangulia kuhitimu chuo na Mimi nimehitimu mwaka mmoja baada ya yeye kuhitimu
Lakini sasahivi amekua hana muda na Mimi kabisa simu hanipigii anadai huko busy na kazi na wakati mwingine nikimpigia simu anaweka black list namba yangu
Nikimuuliza anadai huko busy
Kuna wakati nilimuomba anisaidie pesa kidogo kuna jambo nimekwama akakataa eti hana hela wakati anafanya kazi,
Alizima simu yake tangu mwezi Wa 11 mwaka Jana nikawa namtafuta simpati lakini nikipigia simu ndugu zake wanasema yupo na anaendelea na kazi
Juzi alinipigia simu na kuanza kunidanganya eti alikua nje ya nchi ndo maana alikua hapatikani
Naombeni ushauri huyu ananipenda kweli au ananichezea tu
Naumia sana kumpenda MTU asiyenithamini
Njoo PM, nina machache ya kuzungumza naww. Tafadhari fanya hivyo bi dada..Wakuu habari za ijumaa?
Naombeni msaada wenu Wa kimawazo please mapenzi yananipa wakati mgumu sana
Mpenzi wangu tumekua kwenye mahusiano takribani mwaka Wa tatu sasa!
Tulipatana mwaka tukiwa chuo
Alinihaidi atanioa kwakweli alinihaidi mambo mengi sana
Yeye alinitangulia kuhitimu chuo na Mimi nimehitimu mwaka mmoja baada ya yeye kuhitimu
Lakini sasahivi amekua hana muda na Mimi kabisa simu hanipigii anadai huko busy na kazi na wakati mwingine nikimpigia simu anaweka black list namba yangu
Nikimuuliza anadai huko busy
Kuna wakati nilimuomba anisaidie pesa kidogo kuna jambo nimekwama akakataa eti hana hela wakati anafanya kazi,
Alizima simu yake tangu mwezi Wa 11 mwaka Jana nikawa namtafuta simpati lakini nikipigia simu ndugu zake wanasema yupo na anaendelea na kazi
Juzi alinipigia simu na kuanza kunidanganya eti alikua nje ya nchi ndo maana alikua hapatikani
Naombeni ushauri huyu ananipenda kweli au ananichezea tu
Naumia sana kumpenda MTU asiyenithamini
[emoji854][emoji854][emoji854]Pole ukiwa mkubwa yataisha.
Kwa tafsiri ya ID yako inaonesha umezaliwa tarehe 5/9/1997
Akibisha nitagPole ukiwa mkubwa yataisha.
Kwa tafsiri ya ID yako inaonesha umezaliwa tarehe 5/9/1997
Elimu ya chuo halafu bado hujui kuchanganua na kudadavua mambo madogo kama hayo, Jiongeze hapo huna nafasi katika maisha yake.
Sent using Jamii Forums mobile app