LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
Dah,leo katika pirika zangu mijini humo, nimekutana na couple moja wanajidai sana,utadhani wamejua kuwa kwa sasa mwenzangu yupo mbali,mwana kavimba mbaya mpenzi wangu popote ulipo kiukweli nakukumbuka sana,najua tupo wengi humu,ambao tunapitia hii hali,njooni hapa tujifariji kwa kuwaonea wivu wapenzi ambao wapo pamoja kwa sasa,sisi wa distance relationship,tunapata tabu sanaaa!