Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

Demu wangu ameniudhi, Namwacha leo hii

buzzfeed

Senior Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
145
Reaction score
107
Habari zenu wana JF

Hapa nimejaribu kuwapitishia vipande vichache kwa ufupi.. natumaini nitaeleweka

Kuna binti flani nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda kama wa wiki mbili sasa. Nakumbuka kipindi namtongoza alinipa sharti ya kwamba asijue mtu yeyote hata Rafiki yangu wa karibu ambaye pia ana mazoea naye.

Kwakuwa ndo ilikuwa ni mwanzo nikasema nikaushe tutajua mbele kwa mbele, ingawa nilikuwa na mashaka na tabia zake.

Mahusiano yetu yalivoendelea kuna baadhi ya watu walianza kujua taratibu na wengi walihisi. Sasa leo ikiwa ni wiki ya pili nimeamka zangu kama kawaida saa 2 nikamtumia text.. Kimyaaa, saa 4 tena.. Kimyaaa, saa saba nimempigia hajapokea nikaamua niingie Whatsapp.. huko naona Last seen saa 10.

Sasa mida ya saa 12 napokea namba mpya.. kidogo anapokea yeye anasema eti ooh naumwa ndo mana sijakucheki siku nzima. Hapa nimemmind kichizi na sijamjibu wala nini na ninahisi sitakaa niongee naye tena .

Nyinyi mnasemaje waungwana.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boyfriends zangu nao wana tabia kama zako ndio mana hata last seen nimeamua kuhide siku hizi

Sasa last seen inakuaminisha vipi kuwa alikua kaingia yeye huko WhatsApp?
Utoto tabu sana ebu tukue aseee

Mbona kila nikisoma comments zako mshedede wangu huwa unasimama kwanini eti??

Au kuna chemistry kati yangu na yako eehhh mama
 
Habari zenu wana JF

Hapa nimejaribu kuwapitishia vipande vichache kwa ufupi.. natumaini nitaeleweka


Kuna binti flani nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda kama wa wiki mbili sasa..
Nakumbuka kipindi namtongoza alinipa sharti ya kwamba asijue mtu yeyote ..hata Rafiki yangu wa karibu ambaye pia ana mazoea naye.. kwakuwa ndo ilikuwa ni mwanzo nikasema nikaushe tutajua mbele kwa mbele, ingawa nilikuwa na mashaka na tabia zake..
Mahusiano yetu yalivoendelea kuna baadhi ya watu walianza kujua taratibu na wengi walihisi..
Ila sasa leo ikiwa ni wiki ya pili nimeamka zangu kama kawaida saa 2 nikamtumia text.. Kimyaaa, saa 4 tena.. Kimyaaa, saa saba nimempigia hajapokea nikaamua niingie Whatsapp.. huko naona Last seen saa 10
Sasa mida ya saa 12 napokea namba mpya.. kidogo anapokea yeye anasema eti ooh.. naumwa ndo mana sijakucheki siku nzima..
Hapa nimemmind kichizi na sijamjibu wala nini.. na ninahisi sitakaa niongee naye tena ..

Nyinyi mnasemaje waungwana.



Sent using Jamii Forums mobile app
Nina shaka na umri wako. Ok weka namba yake ya simu. Tukupe mawazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom