The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Habari za asubuh wana nzengo.
Ijumaa baada ya kutoka kazin,nilipita sehemu kupiga mbili tatu kabla sijarud nyumban.
Ikatokea nikakaa meza moja,ilikuwa ina kinywaji Ila hakijafunguliwa,akaja muhudumu nikamuuliza kuna mtu hapa?akajibu yupo ila katoka kidogo,nikamwambia ok,naomba nitafutie meza nyingine,akanambia haina shida we keti tu.Akachukua oda yangu ya chakula ,wakati nakisubir nikamwagiza chupa ya wine nikawa napiga mdogomdogo.
Baada ya dk 20 akaja baba mmoja nadhan yuko kwenye 50's something years, akaniuliza mbona umekaa meza yangu,nikamjibu baba samahan,ila nilimuuliza muhudumu akaniambia niketi tu,lakin kama hutojal wacha nitafute meza nyingine,akajibu kaa tu,ila akawa anaondoka,nikamwambia karibu tuketi wote. Akaniuliza siwezi pigwa?nikamwambia,kuwa na amani manake nilikwenda alone.
Basi akakaa,akaagiza nami msos ukaja nikala,nikaendelea na wine yangu.Sasa katika mazungumzo nilijifunza mengi sana kwake.Nikajajua pia ni mmiliki wa ile bar.Bonge la baa inayoingiza pesa nyingi sana kwa vinywaj na vyakula.
La muhimu na msingi,alinambia binti ,kamwe usimtegemee wala kumwamini mwanaume.Daima tafuta hela zako,jiwekeze,pata watoto utakao wamudu wewe kama mama,baba akihudumia ama asichangie ,malezi na mahitaj ya wanao yasiyumbe,kwani watoto ni wamama.
Alonambia haya,ni mwanaume,ana biashara nyingi nzuri,ana hela ya kutosha na ana mke na watoto wawili,ila anasema anamuheshimu sana mwanamke independent, kwa maana ya mwanamke anayeweza jisimamia yeye na uzao wake.
So wasichana na wanawake tujipange,tusiwe tegemezi.Mie ndio sababu sidate mwanaume kapuku kamwe,haimaanishi Mwenye hela atanipa,no ila mwanaume asiye na kitu ni gunia la misumari.Ila Mwenye nacho siku ukikwama atakuboost.
Tujiongeze January hii,tujitegemee ila pia usidate kapuku ,kwani fedha inafuata fedha zenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app