Kuna ka mkosi kameniandama

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Salamu

Kuna hii hali inanitokea mara kwa mara. Sijui ni mkosi, sijui ni pepo sijui ninini?

Nikimtongoza demu yoyote na kuanza naye mahusiano , baadaye ni lazima ije itokee kupendwa zaidi na rafiki/ndugu/mtu wake wa karibu. Na hatikaye naye kufanya naye mapenzi.

Hapo mwanzo sikuwa nikiipatiliza sana hali hii, lakini kwa sasa naona inataka kunizoea.

1. Demu wa kwanza , ilitokea nikaja nikapendwa na dada yake (nikamgonga)
2. Demu wa pili, ilitokea kupendwa na mdogo wake (nikamgonga)
3. Demu wa tatu, ilitokea kupendwa na rafiki yake (nikam mbato)
4. Demu wa nne, ilitokea kupendwa na ndugu yake mwingine (nikam gapi)

NA WENGINE WENGI AMBAO SIAWAELEZEA HAPA.

sasa jamani
Huu ni mkosi, balaa, au ni kujiendekeza tu.
 
Sio pepo au nini niujinga wako na tamaa zako, kutoheshimu mpezi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalizo: usije ukagegeda mke wa mtu na wewe kibao kikakugeukia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja mkosi utakuja kuhamia kwa mkeo maana mtakuwa tayari ni mwili mmoja, hadi wana jf watapita
 
Back
Top Bottom