GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,516
- 108,791
.....Kwamba sababu Kubwa ya Wazungu wengi Kuzaliwa na ' Akili ' au kuwa na ' Akili ' nyingi kunatokana na ile tabia yao kuwabeba Watoto Wao kwa mbele ( Vifuani ) huku wakiwa wanawaona tofauti na Wanawake wengi wa Kiafrika ambao wengi Wao Watoto huwa wanabeba wakiwa nyuma ( Migongoni ) hali ambayo inawafanya wengi kutokuwa na ' Akili '.
Wakaenda mbele zaidi na kusema kwamba Kimazingira Mtoto mdogo akibebwa kwa mbele ( Kifuani ) na Mama yake ' Ubongo ' wake huwa unakuwa imara kwa haraka na kujengeka upesi tofauti na Mtoto ambaye Mama yake huwa anambeba kwa nyuma ( Mgongoni ) ambapo ' Ubongo ' wake huwa unachelewa Kukamata mambo kwa haraka na hatimaye kupelekea wengi Wao kuwa ama ' Mangumbaru ' au ' Mapopoma ' wa Kutukuka.
Naomba kuanzia leo hii Wanawake wote wa Kiafrika wakiwazaa Watoto Wao wasiwe wanawabeba kwa nyuma ( Migongoni ) na badala yake wawe wanawabeba kwa mbele ( Vifuani ) kama ambavyo Wazungu wanafanya ili nasi tuweze kupata Watoto / Vizazi vyenye ' Akili ' kubwa ( Vipanga ) tofauti na ambavyo wanafanya sasa.
Shikamooni Wazungu wote duniani!
Nawasilisha.