You're on my Mind....

You're on my Mind....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,802
Reaction score
43,203
DISCLAIMER: "TO SET THE RECORD STRAIGHT, Nyani Ngabu IS NOT MY DADII..."

Mahabuba Dadii.....

Dadii, kwa kila nifanyalo, unanijia mawazoni na akilini mwangu....

Wajua nimetingwa na majukumu ya mkaburu, lakini siwezi kosa wasaa wa kusema neno juu yako.
Vile nabubujikwa na Mahaba yako kila nisemeshanapo nawe, kila nikuwazapo, kila nipatapo cheko kutoka kwako.... nazidi kujiona binti kumbeeeee hehehehhehee saa sita usiku.

Kuna nyimbo hizi mbili wameimba kundi la zamani miaka ya 90 kama sijakosea, ni vijana wadogo ambao walikonga mioyo kwa kipindi kile. Najua nimekuletea kumbukumbu nyingi kwa kukuimbia hizi nyimbo, natumai ni kumbukumbu nzuri. Ni kitambo sana sijazisikia hizi nyimbo, ila wakati nasemeshana nawe hizi nyimbo zikanijia kichwani, nikatabasamu basi Mahaba yakajaa upya....

Dadii kuna muda huwa najiuliza, hivi naweza kukuchukia kweli.... kwanini nakupenda hivii... kwanini umenijaa moyoni hivii.... kwanini nimewafungia vioo wanaume kibao humu JF na huko nje sababu yako.....

Najua sababu ni nyingi usiziseme hapa, ila ukiwa unaoga zitaje moja baada ya nyingine, huku unaniita Kasiiiiiieeee... ahahhahahahaaaa I know am making you looking like .... (unakakumbuka kale katoto kanakoimba.... I love you like a lost soul baby.... this is what am referring to...)

I love you like a lost soul baby.... am singing for you....

Every Little Thing I Do You're On My Mind The Way I Feel Lately, It's Driving Me Crazy
Every Little Thing I Do You're On My Mind I Can't Get Over You, I Think About You All The Time (this is naked true and I use to tell you every now and when)

Can't You See What You Do To Me I Think About You All The Time
My Mind Is Hazy And I'm Mixed Up Feeling Crazy Over You Let's Not Waste Anytime

Round And Round I Go, Where I'll Stop Only You Know I Guess It's All In My Mind
Take Your Time Think It Over Let Me Know What You Wanna Do, Baby It's So Good



My love (Dadii), do you ever dream of Candy coated raindrops?
You're the same, my candy rain (........I love to lick it...)

Have you ever loved someone So much you thought you'd die?
Giving so much of yourself It seems the only way
Tell me what you want and I And I will give it to you
'Cause you are.........

My love, did you ever dream That it could be so right?
I never thought that I would find (you Dadii), (You are)All that I need in life
All I want, all I need now, I know I know I found it in you, I found it in you
'Cause you are........



Dadii, wajua vile napenda kucheza mziki, naomba likizo ijayo tucheze dance la hizi nyimbo, hizo break dance zao hivohivo hivyo anza mazoezi mapemaaaa hehehehehheheee.

I laaab yuuuuu Dadiii, mmuuahh!!!

Kasie Mahaba Matata Dadii Kitoko.
 
Hahahaaaa!

Imebidi uweke disclaimer kabisa eeh!!?

JF bana. Ndo mahala pekee unapoweza kuja na kujifunza mapya kuhusu wewe mwenyewe.

Unaweza ukawa huna hata mtoto. Lakini hapa JF ukija unaweza kuta kuna watu “wanaokujua” wewe kuliko hata ujijuavyo mwenyewe na wanakwambia una watoto wawili.

I’m glad you’ve made it clear I’m not whoever that Dadii is.

And on that note, *** you and your Dadii.

I’ll beat him up when I catch his ass.

🤛🤛
 
Hahahaaaa!
Imebidi uweke disclaimer kabisa eeh!!?

Yeah imebidi, kuna wadada waliona nimewaibia mtu wao......

Waambie uko available kwa ajili yao Kasie yuko busy na Dadiii wake wanavuna korosho heheheheee

And on that note, *** you and your Dadii

*** you right back, kuna jamaa mmoja anaitwa Roger Sterling unamjua???!!!!

Usije ukaniuliza huyo ndo Dadiii..... sikujibu ng'oo heheheheee

I’ll beat him up when I catch his ass.

🤛🤛

Hhahahahahahhaaaa you know what Jabuu, I'll help you to hold his (Dadii) ass while you kick 'dem...

Kasiba Matata Lordship.
 
Yeah imebidi, kuna wadada waliona nimewaibia mtu wao......

Waambie uko available kwa ajili yao Kasie yuko busy na Dadiii wake wanavuna korosho heheheheee



*** you right back, kuna jamaa mmoja anaitwa Roger Sterling unamjua???!!!!

Usije ukaniuliza huyo ndo Dadiii..... sikujibu ng'oo heheheheee



Hhahahahahahhaaaa you know what Jabuu, I'll help you to hold his (Dadii) ass while you kick 'dem...

Kasiba Matata Lordship.

Is that Roger dude your Dadii?

*** him and *** you too.
 
Is that Roger dude your Dadii?

*** him and *** you too.

Weeh Nyanii, si nimekwambia usiniulize kama Roger ndo Dadii..??! Halafu umeuliza..... ndo maana Nyani 😅😅🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️

Ona sasa watu washaanza kusali Rozali.... shauri yako, utajibu mashtaka yote.

Kasiba.
 
Hahahahahhaaa Sergiiooooo

Happy New Year....🎊🎆🎈

So long no see you....

Kasinde.

Thank you and right back atcha. I'm around Kasie, just keeping it low pro. I'm too old to be wildin in these streets like them days. How's you and yours tho? And who the lucky son of a gun be?
 
Hahahaaaa!

Imebidi uweke disclaimer kabisa eeh!!?

JF bana. Ndo mahala pekee unapoweza kuja na kujifunza mapya kuhusu wewe mwenyewe.

Unaweza ukawa huna hata mtoto. Lakini hapa JF ukija unaweza kuta kuna watu “wanaokujua” wewe kuliko hata ujijuavyo mwenyewe na wanakwambia una watoto wawili.

I’m glad you’ve made it clear I’m not whoever that Dadii is.

And on that note, *** you and your Dadii.

I’ll beat him up when I catch his ass.

me napita tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Desperate,stressed and depressed woman.....Its true, you will never know with a woman
 
Thank you and right back atcha. I'm around Kasie, just keeping it low pro. I'm too old to be wildin in these streets like them days. How's you and yours tho? And who the lucky son of a gun be?

Woow, you are missed here....

Am old too but I found myself more into these streets than ever before...

I wonder how old am I...?!

I give glory to God that am still breathing safe and sound. Mine.... Dadiii aahahahahahaa He is here in JF giving me every smile he found out there...

Hahahhaahhahaaaa son of a gun, the lucky one......
Many people are eager to know him, he is Dadii... my one and only.

Jana kunibembeleza na vocal yake tamu hiyooo hadi nikapotelelea usingizini bila kumwambia goodnight.....😘

Outer here, I lost my lens glasses 👓, you have the copy!!?
 
Back
Top Bottom