Uchungu wa kuzaa wanakoma sana

Uchungu wa kuzaa wanakoma sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,049
Reaction score
61,375
Tuwaheshimu Sana wanawake wetu kazi ya kuzaa ilikuwa Ni agano Kali sana ambalo Mungu aliagana nasi.uvumilivu na ujasiri wa kiasi Cha juu Sana kutuleta duniani.kwenye mambo ya kuzaa Kuna mengi Sana hasa nyakati hizi za kizazi Cha ngono.uchungu wa kuzaa unatamani usiwapende Tena wanaume Wala usiwaruhusu wakuingie.na bado Ni lazima kuzaa.hakuna maisha bila mama.
 
Kwani lengo la uzi ni nini? Hebu nifumbueni macho maana nimetoka kapa.
 
Back
Top Bottom