Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Mara shaa katika pita pita zako unamfumania demu wako Je! utafanyaje au utaamua nini? mimi nitaamua kusepa tu kwa amani
wanaume mnasemaje?
Kama ikikutokea na kumbuka wanaume huwa tunaumia sana pale unaposkia demu wako amekusaliti na mtu mwingine.
karibuni!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
wanaume mnasemaje?
Kama ikikutokea na kumbuka wanaume huwa tunaumia sana pale unaposkia demu wako amekusaliti na mtu mwingine.
karibuni!!
Sent from my iPhone using JamiiForums