Amenisaliti ila mimi ndo nimemuomba msamaha turudiane

haszu

JF-Expert Member
Oct 10, 2017
837
1,550
Wiki mbili zilizopita niliweka uzi juu ya usaliti niliofanyiwa na ukweli ni kuwa siku za mwanzo nilikuwa na nguvu sana lakini kadr isiku zilivyozidi nilijiona kuwa mnyonge na kukosa furaha huku nikiwa sioni dalili ya yeye kuniomba msamaha kua hatarudia.

Nimeona bora niusikilize moyo. Nimerudiana nae at least naona mambo yanakaa vizuri sasa ivi, japo nikikumbuka naumia kidogo.
 
Hvi hii mada inahusu nini? Maana sijaielewa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kibamia baba tatizo.. Mwanaume alokamilika hafanyi huo ufalaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakua mwana kwaya huyu!
tapatalk_1548058099443.jpeg
 
Mkuu sasa wewe ile size ya inchi 7 ulifanikisha? Na anajua ulikuwa unataka kuongeza? Au uliambiwa na yeye? Majibu naomba
 
wiki mbili zilizopita niliweka uzi juu usaliti nilioyapata, ukweli siku za mwanzo nilikua na nguvu sana lkn kadrisiku zilivyozidi nilijiona kua mnyonge na kukosa furaha huku nikiwa sioni dalili ya yeye kuniomba msamaha kua hatarudia. nimeona bora niusikilize moyo . nimerudiana nae at least naona mambo yanakaa vizuri sasa ivi, japo nikikumbuka naumia kidogo
Pole ila ameshakuona una udhaifu sana kwake so tegemea kuja kuumia/ kuumizwa zaid ya hapo. Halaf upendo wenu hauko equilibrium
Wewe unampenda zaidi so be care.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom