The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,147
- 20,080
Huu ni ujumbe tu kwa wanaume wenzangu.
Pamoja na magumu anayopitia mwanaume mwenzetu ndugu Robert G. Mugabe, the ten executive president of Zimbabwe yanayotokana na mke mpenzi, hatuna budi kuacha kupeana tahadhari, hawa wenzetu wa upande wa pili wanaweza kukufanya ukafanya mambo ya ajabu Dunia ikakushangaa.
Hata kama huyo mwanamke unampenda namna gani, jitahidi usije kwenda kumtafunia na kulala nyumbani kwake, ikitokea hakuna namna mtafune kisha urudi kwako vinginevyo uwe na uhakika 100% kua uko peke yako.
Nilinusurika kupoteza kazi kwa mambo ya kibwege kama hayo. Siwezi hata kwa dawa kulala kwa demu wangu labda iwe kama nilivyosema hapo juu.
Nakumbuka nilikua nimepata first job appointment, nikapelekwa mkoa mmoja, sasa nilipofika pale baada ya mwezi mmoja nikawa nimezoena na kidem kilikua pale idara ya records, kilikua interns, nikakiomba gem kikatoa, siku ya kwanza kikaja geto, nikakitafuna, siku ya pili kikanikaribisha kwake.
Nilipofika kwake maisha kaliyokua kanaishi ni tofauti na kipato chake, nikapata mashaka sema ndio vile mapenzi upofu nikaignore signs za early warning.
Basi siku nimejilaza nishapiga vitatu vyangu vya kuunganisha, nimejilaza nakula upepo, mara paa, dirisha linagongwa ili mtu akafungue geti, nikajua hapa mambo sio yenyewe, nikauliza nikahakikishiwa amani kua hao labda ni vibaka.
Instinct zangu zikaniambia nijiandae kikomandoo, kama fighter niwe tayari kwa pambano, nikavaa nguo fasta, nikafungua mlango, kisha nikasogea getini ili nifungue niende hom. Getini nakutana na boss wangu ambae ni meneja, tukasalimiana kisha nikasepa geto. Kumbe kaja kapaki li landcruiser nje, anataka atafune mtoto aende kwake, kumbe yale maisha ya yule dogo ni mipango ya kibosile.
Kukata hadithi, usije kuthubutu kwenda kulala kwa mwanamke, mtafume kisha rudi hom kwako uendelee na mishe zako, wanawake sio watu wazuri.
Huu ni ushauri wa bure kabisa. You just take it or leave it.