Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu kama kichwa cha Habari hapo nimempokea binti wa kihaya kutoka bukoba niongeezeni maujuzi Leo siku ya 7 nisije kukosea Maana ndo mke wa Kwanza wa kujifunzia. Kama wewe unataka kuleta kejeli...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Huyu dada nimetokea kumpenda, ila anasema yuko form six now, lakini kwenye mitandao ya kijamii hakauki. Nimemuuliza jana mbona kama uko nyumbani sio shuleni. Anasema anaumwa Anaemia, kaenda...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Ukweli mchungu ni hivi. Wanawake wasio na kazi,wasio na pesa,HUPENDA KUDATE NA WAZEE/WABABU wanawake wenye pesa,wenye kazi zao HUPENDA KUTOKA NA WATU WA UMRI WAO wanawake watu wazima wenye pesa...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
mwanamke huyo/mpenzi ruksa, ushauri matusi fresh nipo tayari Sent using Jamii Forums mobile app Kuhusu picha hiyo ni ishu ya siku kama nne hivi zimepita, me niliwahi nyumbani (kwa wazazi)...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Mada hapo juu inahusika. Katika hili naomba kutangaza wazi kuwa nahitaji msaada wa kisaikolojia na kiroho. Kwa muda sasa nimekuwa nikipambana na hali isiyokuwa ya kawaida ya kujikuta nakuwa...
1 Reactions
27 Replies
11K Views
Kuna aina kuu mbili zinazo wafanya wanaume wawe na mvuto mkubwa kwa wanawake, ambazo ni:- => RICH AND SUCCESSFULL MAN:- hawa kwa sasa ndiyo habari ya mujini......... ukijijua wewe mambo yako...
28 Reactions
465 Replies
211K Views
Wanajamvi Salaam; Sitaki kuwachosha..! Mke wangu ni mjasiriamali anaondoka alfajiri anarudi jioni ukijumlisha na usumbufu wa magari na foleni mpaka kufika nyumbani anaingia saa 2 mpaka saa 3...
1 Reactions
137 Replies
12K Views
Those who love are best able to understand. Those who understand are best able to love. . Where there is love, there is understanding. Where there is understanding, there is love. . Love needs the...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Well, vinaweza kuwa sio vya kipuuzi wala clutter as such. But kuna vitu ambavyo huwa tunaviweka maishani mwetu na sio vya umuhimu kivileee ila basi tu. Nina mkanda wangu aisee huu ni mwaka wa 12...
9 Reactions
50 Replies
5K Views
Hh
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Tafadhali, comment kistaarabu. Picha zitawajia punde
3 Reactions
173 Replies
15K Views
Kufuatia wapenzi wengi kutowekana wazi hasa katika suala la mahusiano, nimeona nifungue uzi huu maalumu kwa ajili ya wapenzi, wanandoa na wanaotarajia kuwa kwenye ndoa kufunguka mambo ya ndani...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Vijana wa kisasa wakileo unakuta wengi tumeanza mahusiano ya kimapenz tukiwa wanafunzi kabisa wa secondary.sasa hapa katikati mpaka tunafika umri wa kukaribia tunakuwa tusha date na watu Kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna wale tulioahidiana kwenye school disco kuwa mimi na wewe mpaka kufa. Baada ya pale tulipotezana. Sasa leo unaniona na mr eti unatanua kufua kuwa wewe ulianza. Iheshimu ndoa yangu tafadhali.
11 Reactions
16 Replies
2K Views
Bila kupoteza mda niende mazima kwene talk ,Kutokana na uzoefu wangu kutembea mikoa mingi nimegundua ya kua mikoa ambayo ina madada poa wengi wanawake huwa hawaringi sana yaani ata utongozaji wao...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo nilikuwa matembezini mjini, maana mshahara wa December sikununua hata lipstick, ulikabwa na mahitaji ya shule. Ninapumua mwezi huu, niliamua kisafisha macho kwenye department store mjini...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Hey, Natafuta mke alietayali kutengeneza familia mwaka huu 2019 kuanzia leo jan 26-hadi mungu atakapotuita. SIFA ZAKE 1. awe mkweli 2. asiwe mzuri sana 3.awe maji ya kunde/ mweupe kias 4.kama...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Natumaini hali ya leo ni njema sana. Naomba kuongezewa ufahamu juu ya maana ya misemo hii: 'Usinchoshe nsikuchoshe... kwani sh. ngapi?' na wa, 'Sakata! Msaka tonge!' Pale inapotumiwa na wadada...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kama ilivyo Ada msimu huu wa Valentine's day Unapo Wasili huwa ni kawaida " kwa wapendanao kuonyeshana hisia zao za mapenzi/upendo dhidi yao Hivyo basi nachukua fursa hii kuwa karibisha...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
Mapenzi ni safar ndefu sana kuna misukosuko mingi sana humo na kila mmoja ana mengi ambayo amepitia au anapitia kwa sasa. Swali langu Je ni scandal gani ulishawai kukutana nayo katika mapenzi?? Je...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom