Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi binafsi ni mhanga mara kadhaa kutokana nakuwa na huruma sana na kuamini rafiki kirahisi. Mwisho wa siku inakula kwangu. Sent using Jamii Forums mobile app
6 Reactions
35 Replies
6K Views
Hello Valentine hii nitakuwa Mpweke sana maana Shemeji/ wifi yenu Yupo nje ya nchi Kimasomo. Nimemuomba ruhusa ya kuspend na binti mmoja siku ya valentine ameniruhusu. Ila amesema atataka...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wanachama cha wachepukaji na wadau wengine. Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na ujumbe huu wa jamaa akimshukuru mchepuko wa mke wake. Nisiongee sana tusome pamoja, (kama...
10 Reactions
29 Replies
4K Views
Nakataa mpaka kesho kwamba eti ili sisi vijana tuepukane na Mambo mabaya Kama madawa ya kulevya na uzinzi inatupasa tufanye mazoezi ili tusipate muda wa kufikiria Mambo hayo maovu.sio kweli kwa...
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Huyu dada tupo naye ofisin. Ni mdada ambaye ana umri kati ya miaka 23-26 mzuri mjanja,ana mvuto.shape na sura pia. Toka nmeajiriwa hapa nina miezi kadhaa tu.mara nyingi huja ofisin kwangu...
11 Reactions
186 Replies
18K Views
Naombeni ushauri wenu.... Naishi na mwanaume kabla sijawahi nae nilikua nina kipharmacy kidogo ambalo lipo mpaka leo ila tofauti ni kwamba tulipoamua kuishi pamoja nilimfata mkoa mwingine ambapo...
5 Reactions
142 Replies
11K Views
Wakuu hii tabia huwa inanishangaza sana, utakuta mtu amekuomba hela au kaomba umkopeshe.. Na wakati huo na wewe ukawa huna kitu au huoni matarajio ya kurudishiwa!! Sasa huyu mtu kwa kumuheshimu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kila
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kila Siku watu wanaanzisha na kuvunja mahusiano na wapenzi wao. Vipi mdau mliachanaje na mpenzi wako. Hapa ni wale wa mtaani(michepuko) ambao huna malengo nao. Mimi nikipata papuchi najitoa...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Watu wengi kwenye mahusiano wanashindwa kusomana na kuelewana. Hawa wapenzi wawili anakituh(anna) na mashibota (mashy) wanafahamiana vizuri mpaka raha. Hili jibu alilolitoa huyu dada ni jibu...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Naachwa tu naachwa tu kwasababu nina wivu uliovuka mipaka,nikishakuwa na mpenzi kwa bahati mbaya au nzuri akaanza kunisimulia mahusiano yake ya nyuma au nikamjua X wake basi najikuta nakosa raha...
3 Reactions
68 Replies
10K Views
Binti anataja mahari yake pesa kiduchu sababu anamuonea huruma mpenzi wake, hataki kumkomoa lakini nyie wazazi mnakuja kuongeza mara nne zaidi. Huo ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa. Kwani...
8 Reactions
122 Replies
13K Views
I greet you all members in the name of JF, Mapenzi/Mahusiano ni kama chuo/darasa, unapata mengi ya kujifunza toka kwa mwenzako uliyenaye kwenye huo uhusiano. Mnaweza achana kwa makubaliano mazuri...
33 Reactions
221 Replies
42K Views
Habari zenu wana JF nnaimani kuwa mko salama, bila kupoteza mda nidondokee kwenye mada yenyewe. Hivi ili neno nipe nikupe maana yake ni nini haswa? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je kuwa na wachumba zaidi ya 2 huo ndio umalaya? Kubadilisha wanawake /Wanaume kila mala ndio umalaya wenyewe? Au kukaa na kufanya sehemu zako za siri kama mtaji/Bidhaa yaani kuzitumia ila...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamii, "Dont putt all your eggs in one bucket" hayo ni maneno ya kingereza na pia yanatumiwa sana na wachumi Yana maana kuwa usiweke mayai yako yote katika kapu moja, mimi sio...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi nyie wadada eti nini tofauti kati ya "MAZIWA YA MWANAMKE NA MATITI YA MWANAMK!" Mwanamke mweny Titi ni yupi na Mwanamke mwenye Ziwa ni yupi?? Weekend njema! Comment fupi fupi mambo ni mengi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadada wa mjini wanakuambia mambo ni hiviiiii [emoji95] [emoji95] ... kama uko na mpenzi na unawasi naye nikuambie tu usimkanyage hata kwa bahati mbaya, wala kuchelewa kujibu salamu anaweza...
24 Reactions
157 Replies
7K Views
Habari za muda huu wana jamii? Kuna mada hapa ningeomba tuzungumze au mnitoe kwenye huu ujinga. Kuna mtumishi wa Mungu aliwahi kuniambia kwamba kuna ndoa ambazo zinafungwa mbinguni au Mungu...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Back
Top Bottom