Mke mwema nakutafuta

robby un

Member
Oct 6, 2018
52
39
Hey,
Natafuta mke alietayali kutengeneza familia mwaka huu 2019 kuanzia leo jan 26-hadi mungu atakapotuita.

SIFA ZAKE

1. awe mkweli
2. asiwe mzuri sana
3.awe maji ya kunde/ mweupe kias
4.kama ameshazaa ni vizuri zaidi
5. Umri 18-28

SIFA ZANGU

1.nmkweli na mwaminifu
2.mrefu kias
3.nmejiajiri pia nmwajiriwa
4.mweusi
5. Umri 30

Kwa alietiari ni PM, asanten

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you that desperate?? Unadhani ndoa ni lelemama?? Unataka upate mtu online then ukaweke ndani? Guys tuweni serious na maisha, look around you tazama wanawake wanakuzunguka amua kumjua mmoja kwa muda then oa or church meetings, mtandaoni ni risky sana mimi sitorudia tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom