Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Well, vinaweza kuwa sio vya kipuuzi wala clutter as such. But kuna vitu ambavyo huwa tunaviweka maishani mwetu na sio vya umuhimu kivileee ila basi tu.
Nina mkanda wangu aisee huu ni mwaka wa 12 kama sikosei nauvaa tu. I should be ashamed but am not. Nina memories nao nakumbuka it belonged to my boyfriend who is now my husband. Na mara ya kwanza kuuvaa nilikuwa sijui kuufungua na hapo nilibanwa ku pee so my male bestfriend had to do me the honor.
Nina Shem wangu bana ilibidi mswaki wake tuuvizie tuutupe. Ulishaisha ukawa umebaki bristles kama kumi na bado anautumia eti kisa aliununua Uganda alipoenda kumtembelea Ex Gf wake. 😛😛
So tutieni story, una kitu gani ambacho umekiweka mda mrefu ? Kwanini bado unacho na una memories gani nacho? 😀😀😀😀
Hornet, Mentor Asprin Da vincci Mzigua90 etc