Robert alizakiwa na pacha mwenzake wa kike Roberta. Walisoma vizuri ila matokeo ya kidato cha nne yaliwatenganisha. Robert alipata div 1ya point saba wakati Roberta alipata div 4 ya masister do...
Kuna haya mapenzi ya kujuana mitandaoni. Inafikia kipindi mnakuwa mmezoeana kama mnafahamiana.
Suala linakuja pale mnapo panga mipango ya maendeleo.
Je?... Ni busara kutoa pesa kumpa mpenzi huyu...
Dada zangu mnawakati mgumu yaani sijui huu ushamba umeanza lini ?
Yaani rafiki yangu kama case study wanapenda sana mi wachache walijaribu nkawaambia asee huo ni ujinga sana .
Mtoto wa watu...
Nani amewahi ku watch Alice in wonderland? Quote ya character gani unaipenda sana kwa hiyo movie? Mimi napenda kuna sehemu mad hatter anamwambia alice You used to be much more muchier you've lost...
Heshima kwenu great thinkers wakubwa na wadogo, hizi hapa ni dokezo kumi kwa wanawake waliondani ya ndoa na ambao bado hawajaolewa ila wako mbioni, mnisamehe kama nitatumia lugha kakasi kidogo...
sijajua kwanini lakini wadada wengi ambao waongeaji kila kitu wanajifanya wanajua wao na wanaongoza kulalamikaa mara hivi mara vilee mara wee mwanaume iviii
mkiwa katika mahusiano wao wanajikuta...
"Msichana akikuacha kwakua huna pesa na akakurudia wakati unazo, sio kwamba anapenda pesa hapana hapendi wewe uwe huna pesa kitu ambacho hata wewe hukipendi pia, Sasa utamlaumu mtu kutopenda kitu...
Tanzania! Yes ni Bongoo
Wakati wewe ukiwaza lini Mungu atakuona upate japo tumilioni tutano kuna watu wanatumia milioni 22.4 kwenda dinner kula bata na baby wake kwa siku moja tu. Yani only one...
Katika utafiti nilioufanya ambao sio rasmi, wanawake wengi ambao wanapiga vita ndoa wana viburi, wakorofi na wanyanyasaji, na wengi wao wanajijua wanahizo tabia ndo maana wanakuwa mstari wa kwanza...
Kwanza kabisa jamani nawasalimu.
Niende moja kwa moja kwenye mada wakuu. Niko na dada mmoja hivi ambaye tumetokea kuwepo kwenye mahusiano si muda mref sana ila kiukweli amejitoa sana kwangu...
Jana nimesafiri mimi na mke wangu kwenda Iringa ukweni. Katika safari yetu nikaugua tumbo la ghafla kwa kuwa tulikuwa maeneo ya Ilula wife akasema nijikaze tunakaribia Iringa mjini. Kama ujuavyo...
Dada kaolewa kwa ndoa, maisha yanaendelea na matatizo na furaha ni sehemu ya maisha kapata mchepuko akaanza kubadilika na dharau kwa mme, atimae kaamua mwenyewe kuomba talaka kwa kutegemea mali...
Umenifanya nionekane rude boy wakati mi ni gentleman. Wanafamilia wananiita Mimi bahili na siwajali yaani kiufupi sina upendo nao Ila si kweli maisha huku mjini ni magumu sana matumizi yamezidi...
Wadau
Baada ya uchunguzi wa miaka mingi nimeona kwamba wanawake ambao nimeshawa-date/kuwa nao kwenye mahusiano ,wamegawanyika katika makundi yafuatayo;
1) 60% - Wanafuata hela , hawana mbele wala...
Habari za asubui ndugu zangu, natumaini wazima wa afya najua wengine mpo kwenye majukumu ya kila siku hili kuakikisha mkono uende kinywani.
Bila kuwachosha napenda tushee kitu fulani kuhusu hivi...
Niko kwenye stage ya mwisho wa ujauzito ila mambo naona yamekua mengi na mimi ndo kwanza naanza maisha ila baba wa mtoto yuko vizuri na anajua situation yangu vizuri kabisa. Hapa nilipofikia...
mwanamke, play part yako, kama mwanaume alikupenda na kisha akatoa mahari na kufunga ndoa na wewe ujuwe kuna vitu alitegemea kutoka kwako, iweje leo ageuke? utagundua, there is something wrong...
Karibu wanafamilia wa JF kwenye makala yangu ya mapenzi,
Tatizo la mwanamke kumfanya mwanaume akose nguvu za kiume ni kwamba kama kweli tatizo hilo linasababishwa na mwanamke binafsi, basi yule...
Mnamo Mwaka jana . Mwishoni wa Mwaka niliwahi kuhudhuria harusi Ya rafiki Yangu Mmoja hivi wa kike Ambaye alikuwa ana tarajia kuolewa na Mchumba wake wa Muda mrefu "....,
So baada ya mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.