Kijana wa kimakonde nimeanza kuishi na binti wa kihaya kutoka bukoba niongeezeni maujuzi

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Wakuu kama kichwa cha Habari hapo nimempokea binti wa kihaya kutoka bukoba niongeezeni maujuzi Leo siku ya 7 nisije kukosea Maana ndo mke wa Kwanza wa kujifunzia.
Kama wewe unataka kuleta kejeli bora upite tu hu uzi haukufai.

Wasifu wangu, nina miaka 27 ni muhitimu wa shahada ya Kwanza mwaka Jana 2018.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera dogo ila ukumbuke kuna mabadiliko ya sheria kidogo. Zingatia hili!
IMG-20190202-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom