Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,182
- 9,586
mwanamke huyo/mpenzi
ruksa, ushauri matusi fresh nipo tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu picha hiyo ni ishu ya siku kama nne hivi zimepita, me niliwahi nyumbani (kwa wazazi) maana mama kafiwa na wifi yake so nlitakiwa nikae nyumbani mpaka siku atakaporudi coz me ndo nipo karibu nae na ndiyo last born.
Nikamweleza mpenzi wangu kuwa yeye atakaa nilipopanga mpaka mom arudi akasema powa, anapoishi mama ni makazi mapya so watu hakuna wengi, ni lazima niwahi nyumbani saa 1 au saa1:30. kuhofia wezi na kadhia nyingine.
SIKU YA TUKIO(yahusu picha/screenshot hiyo)
Bidada huwa saa 2 kamili mpk na robo yupo nyumbani , sasa hiyo day nampigia simu hapokei , zaidi ya mara 5 kuja kumuuliza , why hapokei simu zangu anadai alikuwa anapiga mahesabu na boss , mpaka saa 5 jibu lake ndo hilo hapo kwenye screenshot
Na pia nimepata taarifa kuwa huwa anachelewa kurudi nilipopanga, nimemuuliza akasema analalaga kwa mama yake siyo mimi tuu mwenye mama .
KILICHOFANYA NIJE KUPOST HAPA NI KIKUBWA ZAIDI YA HICHO NIMEONDOKA HADI KAZINI NIPO NYUMBANI NAHISI BARIDI/JOTO KWA WAKATI MMOJA, HASIRA , NATAMANI KUCHINJA MTU ILA SIMWONI