Ukisikia nimeolewa nisahau

Ukisikia nimeolewa nisahau

Unaanzaje kunisahau nlokutoa bikra?? Samahan dada


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tenth day without sex:

I have just wasted 8 hours wondering whether it's S or C silent in scent
 
Kuna wale tulioahidiana kwenye school disco kuwa mimi na wewe mpaka kufa. Baada ya pale tulipirezana. Sasa leo unaniona na mr eti unatanua kufua kuwa wewe ulianza. Iheshimu ndoa yangu tafadhali.
Mahawala uwa awachani
 
Kuna wale tulioahidiana kwenye school disco kuwa mimi na wewe mpaka kufa. Baada ya pale tulipirezana. Sasa leo unaniona na mr eti unatanua kufua kuwa wewe ulianza. Iheshimu ndoa yangu tafadhali.
Sasa si kweli alianza yeye?
 
Kuna wale tulioahidiana kwenye school disco kuwa mimi na wewe mpaka kufa. Baada ya pale tulipirezana. Sasa leo unaniona na mr eti unatanua kufua kuwa wewe ulianza. Iheshimu ndoa yangu tafadhali.
Dada kumbuka lkn kua ahadi ni deni, sasa kama tuliahidiana kua mimi na wewe mpaka kufa kuna ubaya gani sasa nikikuona kukukumbusha kua mimi ndie mbabe nilie zindua hicho kiwanda?

Maendeleo hayana chama
 
ha ha ha ha ha,kwa mstaarabu hawezi kuonyesha ishara yoyote akikuona na mr ila nafsi zenu zitakuwa zinawasiliana namna uhusiano wenu ulivyokuwa huko nyuma(wewe utamfikiria na yeye atakufikiria) hii aikwepeki,kwani hisia ndio zitakuwa zinawasiliana.
 
Kuna wale tulioahidiana kwenye school disco kuwa mimi na wewe mpaka kufa. Baada ya pale tulipotezana. Sasa leo unaniona na mr eti unatanua kufua kuwa wewe ulianza. Iheshimu ndoa yangu tafadhali.
Ahadi ni deni Mkuu,
Najua huwezi kuolewa mara mbili, japo niwe kidumu cha pembeni tu tukumbushie good moments tuliokua nazo that time.
 
Back
Top Bottom