Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Mapenzi ni safar ndefu sana kuna misukosuko mingi sana humo na kila mmoja ana mengi ambayo amepitia au anapitia kwa sasa. Swali langu Je ni scandal gani ulishawai kukutana nayo katika mapenzi?? Je ilikuwa ni nzuri au mbaya . Na kama mbaya ilikuathirije??FUNGUKA.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums