Ukabila bado ni tatizo Tanzania.

Ukabila bado ni tatizo Tanzania.

Ukabila haujawa tatizo, upo lakini kwa kiasi kidogo, bado wa-Tanzania wanapendana bila kujali makabila yao. Angali kwenye mambo ya kijamii kama vile misiba, harusi na mikusanyiko kama vile magroup ya WhatsApp, kwenye ma-bar watu wanashikiriana tu bila ya kujali hayo mambo ya makabila
 
Back
Top Bottom