Kafumania na kapewa mkong'oto

Kafumania na kapewa mkong'oto

Mwagito84

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
235
Reaction score
716
Jamaa yetu kitaa amevimba uso, hana hamu tena na mke kachapiwa. Ilikuwaje! ungana nami.
Kwa muda jamaa aliskia kiwa kuna afande mmoja anamla mkewe. Jamaa kwa mwendo wa kobe akaanza kufuatilia. Sasa bwana juzi kati kabonyezwa mkeo yuko room namba x afande anatandika mitindo huru.
Jamaa kakurupuka hadi maeneo kumbe Afande akienda kula mzigo anahakikisha kawapiga bia jamaa zake kama 4 hivi counter wanamsubili. Jamaa yetu pasipo kujua kaingia na mlango kunako mgegedo room. Bwana bwana valangati lake sasa, though jamaa alifanikiwa kumtia ngumi mbili tatu mgoni wake ila company ya jamaa aliyoiacha counter ilimtaiti jamaa na kumdondoshea kichapo heavy sana.
Hadi tunakwenda mitamboni jamaa kat**bewa na amekula ngumi za kutosha na sura imevimba. Mke hajarudi toka siku ya kisanga. Dunia sio mbaya wajawake ndio balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke ndo basi tena
 
Pole zake
Tulieni na ndoa zenu jamani

[emoji375][emoji375]
 
Ha ha ha nmependa ushkaj wa hao maafande
 
Hahaha ukisikia kujifungia chumba kimoja na paka mwizi ndio huku...yaani wewe umegundua mkeo analiwa alafu unamtokea yy na mlaji chumbani huku upo peke yako?

Kipigo alichopata kilimstahili maana sidhani kama mtu mwenye akili anaweza Fanya jambo gumu kiasi hicho bila mipango..

Kiukweli mm siku nikigundua mke wangu anatembezewa mkuyenge kwingine na nikawa na ushahidi Wa kutosha wala sintaangaika na anaemla maana siwezi jua nani aliemshawishi mwenzake..

Mm nitakchofanya nitamsubira nyumbani akirudi tu anakutana na kila kitu chake mlangoni abebe wakagegedane kwa Uhuru nguvu ambazo ningetumia kupigana na mgoni wangu ntazitumia kutafuta kifaa kipyaaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nalaani sana kwa kauli moja kitendo cha kumpiga mwenye mali sio vizuri.
Na wewe mwenye mali kwanini ukurupuke? We ungesubiri arudi na kumwachia aondoke aende zake ili wakagegedane vizuri, "kuku wa kwako yanini umshikie manati"

°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
 
Sasa na nyinyi washkaji zake si mngeenda wote kumsaidia jamaa,nyinyi ndo mmezingua..

Amvizie tu huyo afande tena ampe kichapo
 
Mwanaume wa kweli ningegawana vyumba na mgoni wangu, haiwezekani kamweeeeee
 
Dawa ya mtu anayemgegeda mkeo ni kumuacha tu japo najua hamuwezi kuachana kistaarabu, lazima ngumi na kujeruhiana kuhusike.

kama mgoni wako anakuzidi nguvu nenda kwa Mshana Jr. Akusaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom