Mpenzi hajakariri namba yangu ya simu,ananipenda kweli?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,806
Reaction score
60,660
Tuna mahusiano ya zaidi ya miezi nane.leo nikamwambia ninunulie kifurushi kupitia simu yako kwa kuwa me nadaiwa na tigo nilikopaga tigo niwezeshe.si ndo ikafika ile sehemu ya kuandika namba eti hajui namba yangu ananiuliza nimtajie.ikabidi nimwambie kuwa hayupo serious na mimi,how come anashindwa kumeza namba yangu?nimekuja kwenu ma Al watan mnipe ushauri,mwanamke wa hivi nimwache au niendelee naye maana me nahisi Kama hanipendi kwanini hanizingatii inawezekana Ni tatizo hili
 
Tuna mahusiano ya zaidi ya miezi nane.leo nikamwambia ninunulie kifurushi kupitia simu yako kwa kuwa me nadaiwa na tigo nilikopaga tigo niwezeshe.si ndo ikafika ile sehemu ya kuandika namba eti hajui namba yangu ananiuliza nimtajie.ikabidi nimwambie kuwa hayupo serious na mimi,how come anashindwa kumeza namba yangu?nimekuja kwenu ma Al watan mnipe ushauri,mwanamke wa hivi nimwache au niendelee naye maana me nahisi Kama hanipendi kwanini hanizingatii?
Ujinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TZ YA...........

Pumba.vu
 
sina muda wa kukariri namba za watu
nimekariri namba zangu tu
 
Duuh,ngoja wajibu wanawake wenyewe..
 
Back
Top Bottom