Ukiwa hanithi unakuwa na uwezo mdogo sana wa kufikiri

Namba 26

JF-Expert Member
Oct 15, 2018
309
917
ukiwa hanithi lazima uwe kilaza dalili za mwanzo za upungufu wa nguvu za kiume asa zinazotokana na puchu ni kusahau sahau

Asa ukifika stage ya kuwa hanithi kabisa akili zako zinakuwa ndogo kuliko za mtoto mdogo kwa sababu ubongo na mishipa inayouhusiana na mambo ya reproduction asa reproduction system ikiharibika nguvu ya ubongo pia uharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejuaje tuanzie hapo kwanza

Driving using BMW X6
 
Si kweli mji wa Mwz wapo wawili moja anamiliki kiwandani na mwingine anamiliki filing stations (shell) 3 . Hapo utasema Je kuwa uwezo wao mdogo ?! Wameajiri wasomi tena wa nje ya nchi !!.

By the way umejuaJe ??!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiwa hanithi lazima uwe kilaza dalili za mwanzo za upungufu wa nguvu za kiume asa zinazotokana na puchu ni kusahau sahau

Asa ukifika stage ya kuwa hanithi kabisa akili zako zinakuwa ndogo kuliko za mtoto mdogo kwa sababu ubongo na mishipa inayouhusiana na mambo ya reproduction asa reproduction system ikiharibika nguvu ya ubongo pia uharibika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuwa muhusika umetuthibtishia sisi wakina nan tukukatalie,ila pole mkuu kwa hayo matatizo ila kwa kuwa umelitambua hilo hatutarajii kukuona ktk madampo ukiokota mauchafu,jizuie hivyo hvyo maana kama umeweza mpaka kuandika hii mada bac umejitahidi sana,pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom