Kwa wale mlioko tanga msaada wenu

Witmak255

JF-Expert Member
Feb 5, 2019
3,264
5,403
Week hii yote tulikuwa na ratiba ya kutembelea mikoa na baadhi ya vivutio mbalimbali hapa nchini, Mimi na rafiki yangu.. Jana baada ya kutoka ngorongoro tulipiga kambi Arusha mjini rafiki ilianza kushauri twende tanga tukapatembelee ikiwa hatujawahi fika kwenye huu mkoa hata siku Moja.

Baada ya majadiliano ya mda mrefu tukaamua kuweka gari mafuta ya kutosha hiyo saa4 usiku wa Jana, tukaanza Safari ya kwenda tanga mjini mida ya saa11 kasoro tukawa tushafika sehemu ambayo hatukuitambua kwa jina but kulikuwa na kibao kinasomeka Tanga cement company na mbele yake kidogo kulionekana kiwanda kingine tulivopita pale kwa mbele kulionekana stand ya magari kwa mda huo palikuwa patupu na patulivu Sana.

Sisi tukasonga mbele mpaka tukafika sehemu Kuna veta tukauliza pale sehemu za hotel kwa bodaboda waliokuwa pale wakatuelekeza hotel Moja inaitwa dolphin, tulifika hapo dolphin asubuhi ya Leo na hi ilikuwa Kama saa11 na dk15, tukachukua rooms tukapumzika kwa masaa then asubuhi baada ya kifungua kinywa tukataka kujua maeneo mazuri ya kutembelea. Tumeelekezwa Tanga beach hotel, Raskazone area, na sehemu nyingine ... Huku kote tumeenda.

Kuna kitu tumekuta tofauti kabisa na kile kilichokuwa kwenye mawazo yetu, mbna Ni mji wa kawaida Sana Tena uko kilocal Sana na wale watoto wakali waliofanya Hadi yule msanii mgosi akatunga wimbo wa " mabinti wa kitanga", mbona siwaoni Tena nawaona wapo wakawaida tu.

Hapa wenyeji wa huu mji tuelezeni Ni maeneo gani ukienda hapa tanga unajihisi uko peponi na hao watoto wako wapi huku... Nina siku Moja tu mpka kesho ya huku tanga please nielekezeni wenyeji
 
Mkuu ninavokaandika text hii now Niko forodhani hapa watoto wapo wa kawaida na mazingira ya kawaida sana, na hapa wenyeji wananionesha baa Moja iko pembeni wanasema inaitwa chichi wanasena kunakuwa na club usiku lakini Ni pabovu balaa yaani pachafu balaa, Kuna sehemu nilieekezw tanga pazuri na hapo ndo tumekula chakula Cha mchana ni Kama mgahawa flani Ule utamu wa tanga ninaosikia watu wakiuhubiri sijaupata bado huu wa "TANGA RAHA"
Story hizo ila ukiishi kama week ndio utamuamini bwana misosi alikuwa mkweli

Ila kama mtumiaji wa ulevi wa kike jioni nenda katege maeneo ya forozani hapo
 
Mkuu ninavokaandika text hii now Niko forodhani hapa watoto wapo wa kawaida na mazingira ya kawaida sana, na hapa wenyeji wananionesha baa Moja iko pembeni wanasema inaitwa chichi wanasena kunakuwa na club usiku lakini Ni pabovu balaa yaani pachafu balaa, Kuna sehemu nilieekezw tanga pazuri na hapo ndo tumekula chakula Cha mchana ni Kama mgahawa flani Ule utamu wa tanga ninaosikia watu wakiuhubiri sijaupata bado huu wa "TANGA RAHA"
Mkuu si uingie Mombasa hapo ukamalizie hasira zako.
 
Tanga bila mwenyeji watoto utawasikia tu kama ulivyowasikia kwenye bongo Flava
 
Ni mtazamo wako, karibu na wewe uwafate
Tanga ndiyo mji wangu, usidhani huku hao mabinti wanaosifiwa ni wa kujitega hovyo kama Kimboka. Hili jiji lina taratibu zake, wewe endelea kuranda tu huko forodhani kama jini la baharini.

Ushasema ulienda kutazama malaya ukijua wazuri wenye sifa hizo, hapo ndiyo nimekujua kilichokuleta ni kufanya ufuska
 
Mkuu Mji wa Tanga sio kama Arusha kuwa Warembo wamezagaa mjini, Tanga pako tofauti kidogo kuna vinu na visu hatari ila vipo ndani na Majuba yao meusi wamejifungia mfano apo usagara kwenye izo nyumba kama koto na zipo totoz kibao za kiarabu, Shida ni kuwa hawazururi na wala usitegemee kuwakuta bar sijui disco huko utakuta wachovu tu , Tanga pata mtu tena wamama wa makamo wale micharuko muweke kwenye gari mpeleke sehemu ya ukweli muambie aagize chochote mueleze unataka watoto Grade One, mpe namba za simu mkodishie tax na muachie Vumba kidogo, Mzee utaletewa totoz hujawahi ona
 
Mzee wa Kanda maalum " mambosasa" hebu Be calm kwanza, mbna umekuja kiukali Sana mkuu? Kuna tatzo?.
Kama ulivosema wewe Ni mwenyeji Basi tuelekeze mazingira ya kulia Bata hayo mengine achana nayo maana yapo tu kwa wanaume rijali, maana now kila mkoa nadhani Malaya wapo so wewe hiyo habari naona umeikadhania Sana.
We nambie viwanja vya kula bata hapa Ni wapi?
 
Mkuu Mji wa Tanga sio kama Arusha kuwa Warembo wamezagaa mjini, Tanga pako tofauti kidogo kuna vinu na visu hatari ila vipo ndani na Majuba yao meusi wamejifungia mfano apo usagara kwenye izo nyumba kama koto na zipo totoz kibao za kiarabu, Shida ni kuwa hawazururi na wala usitegemee kuwakuta bar sijui disco huko utakuta wachovu tu , Tanga pata mtu tena wamama wa makamo wale micharuko muweke kwenye gari mpeleke sehemu ya ukweli muambie aagize chochote mueleze unataka watoto Grade One, mpe namba za simu mkodishie tax na muachie Vumba kidogo, Mzee utaletewa totoz hujawahi ona
Nakupm mkuu
 
Ilo jiji usipofata protocol zake hata uwe na Gari na mshiko utakula makombo tu afadhali ata dar au chuga ukishakuwa na mkoko warembo kama wote, Tanga panataka utulivu mana totoz hawazururi wala kujianika ovyo pata mwenyeji wa mama hawa micharuko uletewe mpaka Hotelini vimwana
 
Back
Top Bottom