Kwanini Wanawake wengi wenye Kazi Kubwa au Mali au Umaarufu huwa wanawapenda mno Wanaume ' wanaojiamini ' hata kama ni Masikini?

Somoche

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
4,447
2,000
Ukiwa Huna hela huwezi kujiamini, wanawake wote wenye mali na madaraka hatataka kukaa na mume asienacho wakikaa na wewe utaosha sana vyombo na manyanyaso mengine mengi sana..Utapoteza hadhi yako ya mbingu kama mwanaume..
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,887
2,000
Ukiwa Huna hela huwezi kujiamini, wanawake wote wenye mali na madaraka hatataka kukaa na mume asienacho wakikaa na wewe utaosha sana vyombo na manyanyaso mengine mengi sana..Utapoteza hadhi yako ya mbingu kama mwanaume..
Naona umeamua kutuonyesha Uzoefu wako mkubwa wa ' Kunyanyasika ' kutoka kwa hao Wanawake Mkuu. Pole sana kwa Kuosha Vyombo na Kunyanyasika.
 
Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
4,525
2,000
Wenye mkwanja wa maana au hawa tuwaonao ktk media kila siku? Kama ni hao achana nao mkuu wanakula bhangi mapushabu
 
John_Bravo

Senior Member
Jul 20, 2018
153
500
Wanawake wengi wanapenda Mwanaume anajiamini.Mwanamke anahisi yupo salama anapokuwa na mwanaume mwenye kujiamini.Its biology brother Man is a alpha..he is supposed to be an alpha and dominant.Hii no sababu kubwa inafanya wanawake wengi wanapenda ma-players cuz hawa mahakamani wanajiamini mno mzee.That is a secret..Simba jike akitaka kupandwa mara nyingi anatafuta simba dume ambaye ni dominant/alpha.Sasa ukiwa Mr.Nice guy sanaaa mzee lazima ufeli..Utamkosa au Utagongewa..

#Muungwana_John
 
Mpini Wa Chuma

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,654

Hizi ni mbwebwe Mimi hua sicomplicate wanawake n Mali yetu so ishi kama ulivyo akishindwa aende yaan anatakiwa yeye ndio ajishepu kufit your life style sio wewe..kikubwa timiza majukum yako unashindwa jambo usifosi kisa eti uko alpha
 
SK2016

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
7,784
2,000
Wanawake wote hupenda me anayejiamini na kujikubali pia. Kujiamini si hadi uwe mtu wa miraba 4.

Hawa waliofanikiwa kimaisha hupenda wanaume wanaojiamini kwa sababu ni waoga mno. Huhisi watu wanawafatilia kwa mafanikio yao na kuna baadhi hisia zao huwa za kweli.

Hivyo huhitaji me mfariji na anayemtoa hofu ili ahisi yuko salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
John_Bravo

Senior Member
Jul 20, 2018
153
500
It's all about confidence brother.. Sio lazima uwe player but Kama hauijiamini...vingi utakosa mkuu..Hawapendi mwanaume muoga broh trust me..
Hizi ni mbwebwe Mimi hua sicomplicate wanawake n Mali yetu so ishi kama ulivyo akishindwa aende yaan anatakiwa yeye ndio ajishepu kufit your life style sio wewe..kikubwa timiza majukum yako unashindwa jambo usifosi kisa eti uko alpha
#Muungwana_John
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom