venchwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 2,222
- 3,158
Najua watu wengi hapa, hudanganywa katika mahusiano, hebu tuone ni jambo gani utafanya unapofumaniwa na mtu wako, USIPANIKI YACHUKULIE YA KAWAIDA SANA , JIAMINI
hapa kuna aina mbili
1. UKIFUMANIWA UNATEMBEA NA MKE WA MTU
Hatua ya kwanza usishtuke, wala kuwa na papara ya kujificha , muangalie mme wa demu unayeiba , kwa hali ya kawaida,
Sema maneno haya matatu tu yataweza kumlegeza,
A. wanawake mbona hamfadhiriki sasa nini kuniletea wanaume mpaka hapa ina maana wewe ni malaya kiasi iki kumbe una mme mwingine,
Anza kumtia mabanzi seriouse mwanamke huyo. tena ya ukweli sana, mme wake ataingilia kuamua na kusema haa hapo tuongee tuyamalize kabisa maana wanawake hawaaminiki, usikubali paniki kabisa mchenjie hata mme wake mwambie kwamba yaan mi nimgharamie alafu unakuja eti tuongee huu upuuzi kabisa, yaan pale kuwa ji entitle kama demu alikuwa wako kweli kumbe unaiba,
B. Ukiona anaingia mlipo nyanyua simu piga kwa washikaji hata kwa kuzuga sema " hallo yule nyangau anayekulaga demu si kajileta mwenyewe hivi mko hapo karibu? njoo na zana zote aisee" alafu elekea mlangoni funga mlango kabisa, mme mbona atakuwa mdogo tu hahaha
ALAFU MWAMBIE HEBU NIPASIE HIYO SURUALI HAPO JUU NI VAE UKU UMELALA KITANDANI , YAANI UNAMTUMA AKUPE SURUALI ILIYOTUNDIKWA JUU
2. KAMA WE NI MWANAMKE UKAFUMANIWA UNATEMBEA NA MME WA MTU, yaan ukafumaniwa na mke mwingine, hapo hakunaga shida sana, kwanza mtie makofi ya ukweli mwanaume alafu mkunje hata huyo mke jifanye kukasirika, yaan usiwe muoga , simama kidete, mwambie kuwa kumbe we ndo paka shume waiba waume za watu, simama jifunge vizuri kwa timbwili, alafu mme atasimama kuingilia kati, akiingilia tu jifanye unaondoka kwa kususa kwamba kumbe ndo zako una wanawake wengi sana kiasi hiki,sasa sitaki unitafte tena, timua kiujanja.
ISHU INAKUJA PALE UNAPOFUMANIWA NA MMEO AU MKEO,
HAPA ONESHA DHARAU KUEPUSHA NGUMI ZA PALE, SEMA KWAMBA KUNA YALIYOKUSHINDA NDO MAANA NIKAJA KWA HUYU,
DATE ON YOUR OWN RISK