Vijana wa Kitanzania mpo tayari kuwapokea hawa wanawake

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,317
7,509
Hoda muthana wa Alabama na Shamima mabinti wadogo sana waliokuwa majiunga na kikundi cha ISIS wakitokea nchi za magharibi,baada ya ISIS kuvunjika wanaomba kurudi nchini kwao ila nchi zao wamekataa kuwapokea ,mfano Uingereza inasema inamfutia uraia Shamima

Je vijana wa kibongo mpo tayari kuchukua mizigo hiyo ili mkaanzishe familia na watoto wa kizungu?View attachment 1027664
IMG_20190220_223805.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alabama na Shamima mabinti wadogo sana waliokuwa majiunga na kikundi cha ISIS wakitokea nchi za magharibi,baada ya ISIS kuvunjika wanaomba kurudi nchini kwao ila nchi zao wamekataa kuwapokea ,mfano Uingereza inasema inamfutia uraia Shamima

Je vijana wa kibongo mpo tayari kuchukua mizigo hiyo ili mkaanzishe familia na watoto wa kizungu?View attachment 1027664View attachment 1027666

Sent using Jamii Forums mobile app

Mode fanyeni masahihisho, isomeke '' Hoda Muthana na Shamima Begum mabinti wadogo'' na sio '' Alabama na Shamima mabinti wadogo'' Huyo mwingine jinalake sio Alabama but Hoda Muthana of alabama

ISIS brides: Hoda Muthana and Shamima Begum plead to go home
 
Back
Top Bottom