Nipeni uzoefu jamani

Raj kapool

JF-Expert Member
Jun 29, 2018
828
1,014
Nipo mwanza, nilikutana na demu toka moshi, kama kawaida mtoto wa mjini nilimtokea akatiki nikiwa na lengo LA kubomoa na kuacha, kumbe mtoto kaelewa mikito kaning'ang'ania humwambii kitu kuhusu Mimi anataka nimwoe, nishamwambia sina Raman mjini kwahyo hata nikikuoa sintoweza kukutunza anasema atajitunza yeye na ikiwezekana nami pia atanitunza kama nikishindwa,,,, kiukweli ni mzuri na kwao wapo good maana alishanitambulisha baadhi ya nduguzake hapa town wapo safiiii,,,, tatzo ni kwamba nasikia wachaga hawajatulia so nipeni uzoefu kwa yule alowahi Ku date na mchaga ilikuaje? Yaani wapojepoje tabia zao wakikuzoea sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe namba zake nikuonyeshe jinsi ya kumtuliza huyo mtoto maana unapata bahati ila sasa hujiamini.

Back
Top Bottom