Wivu kwa mchepuko

Fastaaa

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
433
500
Wasalaaam,

Hii inatuhusu wanaume tuu, hivi ulishawahi kuhisi wivu kwa mchepuko? yan unajua kabisa kuwa yule mwanamke namgonga tu afu bhaaas, ila ukisikia amegongwa na mwingine unaumia?

Mana jana nimekalishwa kikao, nimemuiba dada mmoja mpangaji mwenzangu, yeye ndo kayataka, kajisogeza me nikala, sasa kuna mshkaji anafikaga hapo kwa siri (inasemekana ameoa so anamkula bidada kwa siri kumbe), kumbe kajua nami nimekula. Aisee anatamani hata kujiua yaan, eti kikao na mwenyenyumba.

Nani ameshawahi kumlinda mchepuko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
8,588
2,000
Ukipita mbuga ya wanyama ya Mikumi kuna mnyama anaitwa Impala... Dume la Impala utalikuta na majike 30, sasa atokee kidume kingine mwenye ugwandu apande jike moja!! So huu wivu ni natural aisee... Huyu dume mpaka mating season ikiisha anakuwa amekondaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom