Nimetatizika!! Nisaidie hapa nitokeje

Nimetatizika!! Nisaidie hapa nitokeje

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Hello Jf family

Niruhusu nijikite kwenye hoja ya msingi.

Mimi ni mme wa mke mmoja. Ninaishi mkoa X ambao si asili yangu ila ndipo ilipo asili ya mke wangu.

Kwa mkutadha huo, interaction ya jamaa na familia ya mke wangu ni kubwa ambayo kimsingi ina impact hadi kwenye distribution ya resources including monetary benefits.

Katika hili nimejikuta nakosa ulali sawa katika kubalance my core family responsibilities and those related to extended family.(wanafamilia mtanielewa katika hili).

Iwe kwa kujua au kutokujua mke wangu pia anaamini katika philosophy ya toa utapata_ kitu ambacho katika utekelezaji wake unatuacha katika hali ya deficit budget na kutofanikiwa kutimiza malengo ya familia yetu mama, kutokana na ku inculcate philosophy ya kumsaidia kila atake show up na uhitaji hasa katika jamaa zake.

Kimsingi my philosophy is different, naamini sana kwenye uwajibikaji wa moja kwa moja and briefly I'm considering my self as a liberal ( there's no free lunch in Paris). Akili na imani yangu inanituma niwe kauzu(full kubana matumizi) ili kufikia malengo ila pressure ya kimazingira inanifanya ku-act differently.

Nimekuwa tolerant kwa muda mrefu nikizani mambo yatabadilika ila philosophy hii naiona hainisaidiii kufikia malengo kwa wakati and in a so efficiency and effective way.

Hivyo, wakuu hebu nisaidieni namna bora kabisa ya kutoka katika utata huu ambao unanifanya kuishi maisha ambayo siyaamini ila mazingira na society expectations zinanipa pressure kuyaishi.

Note: I'm not good in in writing a persuasive thread but please grasp the concept and advise acordingly.

Kind regards.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lewa pombe kabwate wasepe, mi nilivumilia nikachoka nikawa nalewa kisha napeleka neno la uzima home, wameodoka bila kuaga mmmmaamae na wife nayeye kasepa hahahaha nimabaki home alone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello Jf family

Niruhusu nijikite kwenye hoja ya msingi.

Mimi ni mme wa mke mmoja. Ninaishi mkoa X ambao si asili yangu ila ndipo ilipo asili ya mke wangu.

Kwa mkutadha huo, interaction ya jamaa na familia ya mke wangu ni kubwa ambayo kimsingi ina impact hadi kwenye distribution ya resources including monetary benefits.

Katika hili nimejikuta nakosa ulali sawa katika kubalance my core family responsibilities and those related to extended family.(wanafamilia mtanielewa katika hili).

Iwe kwa kujua au kutokujua mke wangu pia anaamini katika philosophy ya toa utapata_ kitu ambacho katika utekelezaji wake unatuacha katika hali ya deficit budget na kutofanikiwa kutimiza malengo ya familia yetu mama, kutokana na ku inculcate philosophy ya kumsaidia kila atake show up na uhitaji hasa katika jamaa zake.

Kimsingi my philosophy is different, naamini sana kwenye uwajibikaji wa moja kwa moja and briefly I'm considering my self as a liberal ( there's no free lunch in Paris). Akili na imani yangu inanituma niwe kauzu(full kubana matumizi) ili kufikia malengo ila pressure ya kimazingira inanifanya ku-act differently.

Nimekuwa tolerant kwa muda mrefu nikizani mambo yatabadilika ila philosophy hii naiona hainisaidiii kufikia malengo kwa wakati and in a so efficiency and effective way.

Hivyo, wakuu hebu nisaidieni namna bora kabisa ya kutoka katika utata huu ambao unanifanya kuishi maisha ambayo siyaamini ila mazingira na society expectations zinanipa pressure kuyaishi.

Note: I'm not good in in writing a persuasive thread but please grasp the concept and advise acordingly.

Kind regards.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli kusaidia n muhimu ila inapokuwa too much huwez kusonga kimaendeleo,ukiwa kauzu kwa nia ya kujenga maisha na familia yako tu mkeo ataku-judge n mchoyo,hupend ndugu zake,hapo cha msingi usiwe muwaz na kipato chako,mfano kipato chako n laki moja,mkeo ajue kipato chako n elf 50(japo c vzur kumficha mwenza),hyo hamsin nyngne iweke akaunt separately kwa ajil ya maendeleo,kngne msaada atoe mke kwa kumkabiz yeye hzo hela,then kwa mwez jaribu kumpa mrejesho wa hela zinazotoka nje ya familia yenu,na je zingebak ndan mngepiga hatua gan,mke mwenyewe baadae atajiongeza na kuwa mbanizi,huku wew umejibana pemben,then maisha yanasonga,ukitaka kuendelea inabid uwe mchumi wa hali ya juu,saidia ila isiwe too much
 
Nadhani hiko anachokifanya mkeo, ni dalali ya kwamba anafahamu A to Z ya uwezo wako au wenu wa kifedha. Jambo ambalo ni zuri, kama wewe na mkeo wote unavision moja. Nje hapo ni lazima ilete shida kama hizo....

Sasa basi, me ningependa kukushauri kwamba, jitaidi sana kadili uwezavyo.... uanze mdogo mdogo kumtengenezea mazingira ya kuona kwamba, kipato mnachokiingiza ni kidogo sana kwenu. Na unaweza kufanya hivyo, kwa kuhakikisha unagawanya mapato ya 2:3:5 katika hali ya usiri mkubwa mno. Huku ukimuaminisha kwamba, 80% ya mapato yote ndio hayo uliyompa yeye, then wewe umebakiwa na 20% only ya emergency katika mizunguko yako.

From there unaanza kujifanya ni kama umemuachia yeye each and everything cha famila.....kwamba yeye ndio apange namna gani ya kutekeleze kila linalotakiwa kufanyika ndani ya familia. I hope ndani ya muda mfupi tu ujao, atatema hiyo amini aliyomeza ya hiyo philosophy.

I wish you all the best chief.

She is careless!

Hathamini Jasho lako mkuu,

Yaani wewe unapambana halafu mtu aje atumie kirahisi kabisa kisa umeoa kwao,No!!

Inaumiza Sana wewe umejitutumua kumletea Mpenzi wako vitu fulani kumbe naye kuna watu anawapenda anawapa very easily, (Love is always selfish)

Mi nadhani unahitaji kuishi na mwanamke Mwenye higher Emotional intelligence na Kupambanua mambo,kiasi kwamba hata ikitokea ukatangulia Mali zako asije kuzitapanya kwa ndugu wakati zinawahusu wanao tu.!

All in all Jaribu kumpa msimamo wako akikereka sawa,Yaa nini kuumia umia rohoni mwako kisa heshima ya ndugu,au unaogopa kuonekana Mbaya mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kusaidia n muhimu ila inapokuwa too much huwez kusonga kimaendeleo,ukiwa kauzu kwa nia ya kujenga maisha na familia yako tu mkeo ataku-judge n mchoyo,hupend ndugu zake,hapo cha msingi usiwe muwaz na kipato chako,mfano kipato chako n laki moja,mkeo ajue kipato chako n elf 50(japo c vzur kumficha mwenza),hyo hamsin nyngne iweke akaunt separately kwa ajil ya maendeleo,kngne msaada atoe mke kwa kumkabiz yeye hzo hela,then kwa mwez jaribu kumpa mrejesho wa hela zinazotoka nje ya familia yenu,na je zingebak ndan mngepiga hatua gan,mke mwenyewe baadae atajiongeza na kuwa mbanizi,huku wew umejibana pemben,then maisha yanasonga,ukitaka kuendelea inabid uwe mchumi wa hali ya juu,saidia ila isiwe too much
Noted mkuu
Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hiko anachokifanya mkeo, ni dalali ya kwamba anafahamu A to Z ya uwezo wako au wenu wa kifedha. Jambo ambalo ni zuri, kama wewe na mkeo wote unavision moja. Nje hapo ni lazima ilete shida kama hizo....

Sasa basi, me ningependa kukushauri kwamba, jitaidi sana kadili uwezavyo.... uanze mdogo mdogo kumtengenezea mazingira ya kuona kwamba, kipato mnachokiingiza ni kidogo sana kwenu. Na unaweza kufanya hivyo, kwa kuhakikisha unagawanya mapato ya 2:3:5 katika hali ya usiri mkubwa mno. Huku ukimuaminisha kwamba, 80% ya mapato yote ndio hayo uliyompa yeye, then wewe umebakiwa na 20% only ya emergency katika mizunguko yako.

From there unaanza kujifanya ni kama umemuachia yeye each and everything cha famila.....kwamba yeye ndio apange namna gani ya kutekeleze kila linalotakiwa kufanyika ndani ya familia. I hope ndani ya muda mfupi tu ujao, atatema hiyo amini aliyomeza ya hiyo philosophy.

I wish you all the best chief.

Sent using Jamii Forums mobile app
You're almost there... thanks for the nice advise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jenga utamaduni wa mkeo kujua matumizi ya your core family per month is how much. Mfano kama ni laki sita (food, groceries, bills etc) ukipata salary mkabidhi yote na ajue kwamba that is it. Kama mna malengo ya kufanya jambo na the agreement ni kuweka akiba laki mbili per month mjulishe na it must be followed. Mwisho ni vema sana akajua income Vs expenditure kwa sababu hata kama mnapata milioni tatu per month na yote inaisha per month maendeleo mtayaona Kwa wenzenu tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona sisi tume amua kuwa mabechela tumeona sana mengi lakini kumbuka ukioa familia ya mkeo ni yako na wewe kichwani inabidi ufanye maamuzi mazito ndio maana ukaitwa kiongozi wa familia inavyo onekana omelega lega serikali yako inakaribia kupinduliwa..Mwisho sio kwa umuhimu mwanaume ni kama simba unabidi ungulume wakusikie..
 
Hello Jf family

Niruhusu nijikite kwenye hoja ya msingi.

Mimi ni mme wa mke mmoja. Ninaishi mkoa X ambao si asili yangu ila ndipo ilipo asili ya mke wangu.

Kwa mkutadha huo, interaction ya jamaa na familia ya mke wangu ni kubwa ambayo kimsingi ina impact hadi kwenye distribution ya resources including monetary benefits.

Katika hili nimejikuta nakosa ulali sawa katika kubalance my core family responsibilities and those related to extended family.(wanafamilia mtanielewa katika hili).

Iwe kwa kujua au kutokujua mke wangu pia anaamini katika philosophy ya toa utapata_ kitu ambacho katika utekelezaji wake unatuacha katika hali ya deficit budget na kutofanikiwa kutimiza malengo ya familia yetu mama, kutokana na ku inculcate philosophy ya kumsaidia kila atake show up na uhitaji hasa katika jamaa zake.

Kimsingi my philosophy is different, naamini sana kwenye uwajibikaji wa moja kwa moja and briefly I'm considering my self as a liberal ( there's no free lunch in Paris). Akili na imani yangu inanituma niwe kauzu(full kubana matumizi) ili kufikia malengo ila pressure ya kimazingira inanifanya ku-act differently.

Nimekuwa tolerant kwa muda mrefu nikizani mambo yatabadilika ila philosophy hii naiona hainisaidiii kufikia malengo kwa wakati and in a so efficiency and effective way.

Hivyo, wakuu hebu nisaidieni namna bora kabisa ya kutoka katika utata huu ambao unanifanya kuishi maisha ambayo siyaamini ila mazingira na society expectations zinanipa pressure kuyaishi.

Note: I'm not good in in writing a persuasive thread but please grasp the concept and advise acordingly.

Kind regards.

Sent using Jamii Forums mobile app
You can re-locate somewhere else ili kuepusha hayo. Kwani ni lazima muishi hapo hapo mlipo?
 
Wewe ndio ulieoa na sio vingine, na wewe ndio mwenye maamuzi na haya ni maisha yenu mliyoamua kuyaanza
Sasa iweje wewe ndio uwe msaada kwa kila anaekuja kuomba?

Sikatai kusaidia lakini wewe sio charity na wala hukuoa ili usaidie familia yake
Wewe umeanza maisha yako ili ujijenge hebu fikiria ukiwa na afya njema baada ya miaka 25 kuanzia sasa utakuwa umefika wapi?
Come on guys lazima muwe na malengo na kama malengo yako ni familia yake utaendelea kuwa nyuma misha yako na kusononeka tu na mwisho huwa wana mwisho mbaya watu kama wewe

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
come to your sense mkuu!!!! usikubali ukaingia kwenye mtego kiasi hicho kaka. Muite mama watoto kaa nae na usiogope mueleza yote na dhamira yako ni nini kwa sasa. Kama ni mke mwema atakusapoti sababu wewe huendi kuua mtu unajipanga ili utoke na ukitoka wewe ndio ametoka yeye na family yote. Tumia tu busara mwambie mamii mimi naona kila ninavyosaidia bado msaada wangu kwa ndugu ni mdogo sana, sasa nimeamua kujipana sasa kunako kutoa misaada ili hapo baadae nikitoa niwe natoa kingi namna hio….. usikie atasemaje
 
Ungeandika kwa kiswahili fasaha unadhan usingeonekana msomi, usingeeleweka? Kuweni wazalendo thamini lugha yako tuanzie hapo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaa nae chini umpe ukweli.
Msaada una limit sio lazima kila jambo mtoe msaada hata hao wazazi wanajua kuna kupata na kukosa na nyinyi pia mnatakiwa mfanye maendeleo yenu.
Kumbuka ukikosa maendeleo hao hao wataanza kuwasema mbona wakina fulani hawaendelei miaka nenda rudi wako palepale.
Panga mipango ya maendeleo na weka mikakati huku unamshirikisha.
Ndani ya hiyo mikakati hakikisha unaifuata kama ni kuweka akiba kwaajili ya ujenzi au kufnya jambo jingine hakikisha mnatenga kwanza pesa kwaajili ya hiyo mikakati halafu ndio mpange matumizi mengine.
Hii itapunguza matumizi mabaya mana kinachobaki inabidi mkitumie kwa kujibana ili mwezi uishe hii itapunguza kutumia hela na pia tiyari mnakuwa mmetimiza lengo.
Kama mkeo ni mfanyakazi au mfanya biashara nadhani usingelalamika sana mana mambo mengine ya familia yake angekuwa anamaliza mwenyew.
Shida hapo nadhani mkeo anakutegemea kwa kila kitu hilo pia ni tatizo
Kama hana shughuli yeyote ya kumuingizia kipato jaribu kumtafutia shughuli ya kufanya pia itapunguza kuwa tegemezi kwako pamoja na familia yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom